kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbuzi gang - wagithomo كلمات الأغنية

Loading...

london, london
na bado anagawa na bado pia hakujengi
na bado anagawa na bado pia hakujengi
(it’s your favourite boy)
(kash keed on the track)

unaskia beat unatetema
nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
flex na ngeus jina yake makena
ako fine fine wine, shida mdomo mathena

unaskia beat unatetema
nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
flex na ngeus jina yake makena
ako fine fine wine, shida mdomo mathena

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
ako zabe anashikisha na thiong’o

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
kana bubble kanapеndaga mdomo
[joefes]
buda boss k_mbe ngeus ni wagith0m_
anadai d na venyе hapendi masomo
msomo naweza floss sipendi mdomo
si formal itabidi niseti kikomo

si normal chura kupatana na ong’ongo
kwa ng’ango skinny n_gga kupatana na momo
na hormones zake zimepanda past kong’o
leo ni manduru na sifa ni za thiong’o

[ssaru]
ka ni ngeus wagith0m_ na natupa mdomo
kanabonga chafu nakasafisha na omo
k_n_lialia kanyamazishe na lolo
unaeza kapatia ju kanawashwa na hormones

ka ni bash anakujanga na kiondo
nakatanga mabeer nyi mkikatanga mavodoo
colour clush anavibe na opondo
anataka tu kasoup na samaki ya kamongo

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
ako zabe anashikisha na thiong’o
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
kana bubble kanapendaga mdomo

[swat, ethic entertainment]
kuomoka ni ka chupi, siwezi kuambia rangi
na ukizua zogo bado utapanguzwa
nacheza kiubazenga siwezi ka mhenga
noma ni afande anataka ka sina

hujui kurequest hadi rachu anakunyima
ati uko na tattoo k_mbe buda ni ufucha
hujui kurequest hadi rachu anakunyima
na bado anagawa na bado ye hakujengi

[fathermoh]
knock knock who is there, boys wagith0m_
gang gang niaje swat si unipee hadi kong’o
bombo mi ni ras na sipendi local
fofo, nimechapa na ikalala fofo

don’t touch ka ni toja nimeipiga lombo
nono hadai straight anataka kombo
shoborise biz ngwafu ch0m_a dikoko
jogoo siwezi mind shimo ka ni nono
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
ako zabe anashikisha na thiong’o

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
kana bubble kanapendaga mdomo

[exray, boondocks gang]
man_gga wamenyanya ki j_pan negasaki
n_gga, n_gga fvckin’
manjege wapige looku kesho wote wakuje kambi
kurutu wana kutu mi nataka wapakwe rangi

zima hio kitu ka imenuka imeoza
akibonga sh_t mwambie aende akaoge
kijana mpole smart, occupation pickpocket
mangeus wameiva wanakaa imported

naukitraciwa aupatikani
na ukiulizwa uko hali gani
na uko fiti uko rahani
na kuna ule ako rahani

ilikuw_nga we na nani?
tulia kwanza we na nani?
ilikuw_nga we na nani?
tulia kwanza we na nani?

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
ako zabe anashikisha na thiong’o

k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
wagith0m_ ni ngeus wagith0m_
k_mbe dem jo ni ngeus wagith0m_
kana bubble kanapendaga mdomo

kikoro, usikuje ka hauna kikoro
kikoro, usikuje ka hauna kikoro
kikoro, usikuje ka hauna kikoro

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...