
mbosso - ova lyrics
ova _ mbosso lyrics
#verse
vishavu vimeanza kunona
kitambi ndo hichi sasa ona
nitazame, nanenepa nanenepa
nami nimempata chioma
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kunitukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#verse
shilingi shilingi shilingi
shilingi yatutoa roho shilingi
shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
shilingi ya ua mapenzi
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#outro
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
Random Lyrics
- c-easy - satisfy lyrics
- mida (ita) - stavo giù lyrics
- each1 - a subvalorização do silêncio em palavras lyrics
- xloudy - heart attack lyrics
- ck the rapper - scars (bad places) lyrics
- monet192 - salty lyrics
- ahc - gaslight lyrics
- lichtmond - rays of moonlight (wenn des mondes strahl) lyrics
- fast fool - onego lyrics
- himiltungl - jamtlandica lyrics