mbosso - mtaalam كلمات الأغنية
na mbosso khan tena
(sounds by abbah)
una kila sababu
ya kusimama kimaso maso
mungu kweli wa ajabu
kanionyesha kwa yangu macho
chukua zangu swahabu
mi nibaki na dhambi zako
unishikishe adabu
mida ya kulala nitokwe jasho
mi sijui kupigna mwili w_ngu wa mapensi dear
tusipende kugombana mi mwepesi kulialia
si kujibanabana, raha ya penzi kujiachia
wako mahututi mama, nimekufa nimejifia
eeeh! nalambishwa asali
kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
nalambishwa asali
nachezeshwa buzuki, dudu chalichali
nimempata!
nimempata mtaalam nimempata
nimempata mtaalam nimempata
nimempata mtaalamu nimempata
nimempata mtaalamu nimempata
mi mtanzania wa halali, ila chembechembe za india
mungu kaninyima ufahari, ila kwa huba najisifia
sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia
penzi kachumbari kwa ugali na pilipili ya kush_gia
aah eeh! nikuite nani?
majina yote nishamaliza
aah eeh! w_ngu wa ubani
umeweza kunituliza
aah eeh! mambo ya chumbani
yaani nalala huku napulizwa
aah eeh! penzi zito tani
napewa raha kupitiliza
eeeh! nalambishwa asali
kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
nalambishwa asali
nachezeshwa buzuki, dudu chalichali
nimеmpata! nimempata mtaalam nimempata
nimempata! nimеmpata mtaalam nimempata
mtaalamu wa mapenzi
nimempata mtaalamu nimempata
fundi wa mafundi kungwi
nimempata mtaalamu nimempata
wasafi
كلمات أغنية عشوائية
- shirley eikhard - while we're still young كلمات الأغنية
- james mcintyre - fertile lands and mammoth cheese كلمات الأغنية
- robyn akelah - right for u كلمات الأغنية
- inmi - intromisión كلمات الأغنية
- gladys knight - midnight train from zamunda كلمات الأغنية
- baby boys - bum ving gatti كلمات الأغنية
- doessie & itje - forget u كلمات الأغنية
- safree - demasiao كلمات الأغنية
- raindrop [miles devine] - bob dylan’s 116th dream كلمات الأغنية
- grotus - ebola reston كلمات الأغنية