
mbosso - merijaah كلمات أغنية
[intro]
s2kizzy baby
[verse 1]
jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
mlango wake, mlango w_ngu vinatazamana
sukari kwake, chumvi kw_ngu tukaazimana
akawa bf w_ngu, udugu w_ngu tukashibana
mwisho tukapendana
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[bridge]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah
oooh meri meri
ooh meri merijaah)
[verse 2]
mwambani mwambani eeeeh
mwambani msuli na khanga
wazania wazania eeheeeeehh
waambie ndo tunayaanza
ooooooooh
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[outro]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah)
كلمات أغنية عشوائية
- peirson ross - a boy caught on words كلمات أغنية
- dick annegarn - enfant de la guerre كلمات أغنية
- racer x - bucket of rocks كلمات أغنية
- frank michael - la vieille dame كلمات أغنية
- gemelli diversi - www.gemellidiversi.com كلمات أغنية
- ddr - s m كلمات أغنية
- michelle bellerose - insect body كلمات أغنية
- scialpi - si io si! كلمات أغنية
- scialpi - da bambino كلمات أغنية
- mina - come sinfonia كلمات أغنية