
mbosso - kupenda lyrics
[intro]
ayo lizer
[verse 1]
nilibisha nilibisha
mama alipo nambia
ukipenda jeuri kwisha
leo nayashuhudia
hayapiti madakika
simu sijampigia
yani sili kupitisha
sauti nisipomsikia
[chorus]
kama kupenda
ndo huaga hivi
mi mwenzenu uchizi naugulia
kama kupenda
ndo huaga hivi
mi mwenzenu uchizi naugulia
[verse 2]
oneni ona, macho tukitazamana
ubaridi homa, aibu tumezidiana
oneni ona, macho tukitazamana
ubaridi homa,aibu tumezidiana
kwako kijumbe fanani, itangazie hadhira
chuma changu kipo ndani, nakinusuru madhira
nyie wa barabarani, waendesha katapira
hii derby ya watani, haina kutoka bila
[chorus]
kama kupenda
ndo huaga hivi
mi mwenzenu uchizi naugulia
kama kupenda
ndo huaga hivi
mi mwenzenu uchizi naugulia
aaaah kama kupenda
ndo huaga hivi
mi mwenzenu uchizi naugua
wanipanda wazimu, wanipanda
(kama kupenda, ndo huaga hivi)
mi mwenzenu, hali yangu mbaya
(mi mwenzenu uchizi naugulia)
Random Lyrics
- we were evergreen - aidono lyrics
- jeune ras - beuzi remix lyrics
- callinsick - cold feet lyrics
- vito (ita) - ti auguro tutto lyrics
- cazsper - curse lyrics
- gaither vocal band - blessed messiah lyrics
- doomsday student - yoko ono's nightmare lyrics
- kwibus - rendez-vous lyrics
- rot ken - look me in my eyes lyrics
- lucas mic - poesia de mauáloka lyrics