mbosso - baikoko lyrics
eeeh, kako fine
kila nikitaka kwenye line, (bila bila)
shuwine, kwake nimelewa kama wine (tilalila)
ye sisimizi nami gegedu tunagegeduana (gege)
na nilivyo sina jinsi
tajiri wa mbegu namuonga na mwana
baba mndenge mama mzaramo
uno lake la kurithi (aaah eeeh)
nafunga tenge mwali chakalamu
shetani mwana hibilisi
jipu (jipu)
uchungu (uchunguo)
mwana nyuma umejaza kishundundu
kwenye zip (zipu)
kuna kirungu (kirungu)
usikamate utawaita wazungu eeehe
babu mkuna n_z_ (mkuna n_z_)
achutama kishinanai na msuli wake ukowazi (ukowazi)
mambo yote hadharani
ughughughughu, mtoto anakaa ka_gorikipa
tena akikata naiingiza
baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyonyonga (baikoko)
we waonyeshe (baikoko)
baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyonyonga (baikoko)
we waonyeshe (baikoko)
asa komesha dengua, dengua
babay dеngua, dengua
ringa dengua, dengua
dеka dengua, dengua lokole
kanifunda la minguu
anataka nipite peku (peku peku)
kunduchu juu anifikishe kwetu (kwetu kwetu)
ye ndo ladha tamu ya kitumbua
rojo ya embe kibada (kibada)
hodari kunengua miuno ya ushubwada (shubwada)
nyuma kalisasambua kafungusha migavwaga (vwaga) anavyotafuna muwa kah kibogoyo dada
katoto kamelainika mwana (mwana)
kukapa ndizi banana (nana)
nakapeleka kwa mama (mama, mama)
dangote, kama kuku twakimbizana (zana)
kanaibuka kanazama (zama)
kamwili kana banana laana lana lana ka_zote
ebo, mtoto anadaka gorikipa
tena akikata naiingiza
baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyonyonga (baikoko)
we waonyeshe (baikoko)
baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyonyonga (baikoko)
we waonyeshe (baikoko)
asa komesha dengua, dengua
babay dengua, dengua
ringa dengua, dengua
deka dengua, dengua lokole
hamu anaifuata (anainama, anainuka mwali anaisusa)
kwa kujishebedua (anainama, anainuka mwali anaisusa)
kama hataki mwali (anainama, anainuka mwali anaisusa)
kwa madoidoi (anainama, anainuka mwali anaisusa)
كلمات أغنية عشوائية
- death grips - steroids (crouching tiger hidden gabber megamix) lyrics
- voyager - this gentle earth (1981) lyrics
- nerone feat. remmy & secco - comodi lyrics
- two owls feat. fransis derelle & parker polhill - over (feat. parker polhill) lyrics
- lauv - i like me better lyrics
- tom klang feat. waikiki - the island lyrics
- noise of fear - god syndrome lyrics
- paul mccartney - junior's farm lyrics
- kngdavd - shame lyrics
- brad paisley - one beer can lyrics