mbogi genje - warena كلمات الأغنية
[intro]
(it’s m city music, baby)
(ay, yo, chino, you again?)
[verse 1: guzman]
man ah guz, huskii setoka, niko rada
bling ni ya kilo, na si ati nyama
ndonyo bado ni mayut wanakaba
hizi rima, jina guzu watataja
mg, zing, jina ndio bwaku
ukilaku, mavushying nakulaku
ukikatiwa kombato na mandunya
ukinilinki, niko rima inadi deep sea (umojing)
niko chupri na kwa mbosho nina ndichwez (kachwez)
odi mind, siwezi tii wanitinge
tukizidingi kotiko nikupinge (pinge)
rampage na kuzidi kuwadalo
hata mao na_deliver to the people (the people)
na mashang’, kuzinyafu, kunyambisha
ukikam na underation, kubwagishwa
nina mbegega nategea nililishe
magambuti ni lazima niwafinye
[chorus: smady tings]
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_, yo (utaliet uki_)
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_ (utaliet uki_)
[verse 2: smady tings]
kaa riang’ ni siaka, mi nitaku_brush
siwezi gwai isaa walosh, hadi mkuje mtu das
nimenjaku vodo mbwegze, wamenjaku vodo jas
wanabuya kakinuka, wanainzagi za backs
digi dwanzi rezi kujijaza gas
na vile kindie, kuna shang’ nime_stash
ukidigi vodoo bwe’ hakuna zeng, ni magwaash
wanafurisha magwado usongi wakinywa ku_have (ku_have)
utabaki nikirao na ki_chrome
huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom
huna riang’ umeidra, man, ni ka huko some
juu ya gwethe zabe, nakupata ukiuza bomb
wanatupimia za ki_var
na walitubeba ndogo tukiw_nga char
mi hutambua me realest, akina michar (michar)
na kifaa, nilichambua zanabe ya kiwar (ya kiwar)
riambez wako idhaa inengi ni shuksha (shuksha)
k_m_swipe, tukimonchokanga bukla
kabla nijichape lazima kondiekcha (kondiekcha)
portmore namezea kila ndiecha
unabanja sana ukinywa kuchweng’a (kuchweng’a)
kimirista hamwezi bishana na kweng’a (bishana na kweng’a)
mtadoz mbogi nzima mtarenga
mkijaribu kukanashi warena
unabanja sana ukinywa kuchweng’a (kuchweng’a)
kimirista hamwezi bishana na kweng’a (bishana na kweng’a)
mtadoz mbogi nzima mtarenga (mtarenga)
mkijaribu kukanashi warena
[chorus: smady tings]
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_, yo (utaliet uki_)
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_ (utaliet uki_)
[verse 3: militan]
ghetto praise, mi sitekeswagi rogam
kunipree, we jidalo mara wutat (mara wutat)
kujinauwo, sikunauwo, we ni who dat (who dat?)
banja baga ni madua muok otolo (otolo)
inna milien, kuwakweng’ chaji seh kama che
tukisheng, kwa hii ground, si ma_king
hatu_zip, kuwa_sweep tuki_sip hennessy
naughty dread, si mabingi, wako kinky
frenemy nawa_born ka warena (warena)
si wazing’, hatugwai hizi mapikni (pikni)
huku njei wanang’am, ni wareng’ wananjaku
ngumi mbwegze, ka si vyoi, tu_foot on hadi laksi
wana furaha sh_gla zetu zikijipa (zikijipa)
mangwander, si hu_boss zihuwarianyu (zihuwarianyu)
za wathii, siwezi fika kwa wakadu
kuna shang’ nategea toka dansu (dansu)
utariau makidi za isladu
nikirombotha chini, kovu digi doki
kwa bonje, siku zao ziko shomwi (shomwi)
ni mila, mi mgenje, uliza toppy (uliza toppy)
mg, kila kitu wana_copy (wana_copy)
wikendi, kurombos na ma_okli (okli)
roho zao ufucha zinadai mopping
leta ufala utaparara na masoki
[verse 5: khaligraph jones]
yo, utaliet ukikanashi warena (ok)
wana_hate, hio ndio kamati ya kenya (woo!)
inakonge, usione nathobotha
reason vitu zimekalas hizo pharmacy za tena (haha)
omollo, mw_ngi, niko thamaki na tema (yes)
niko juu ya ngwete, sembe, samaki, omena (mm!)
nimezoza sling, chini mambati warena (woo!)
na nimeji_pin, niko na ka 30 kwa chamber (iyee!)
macho drowsy ka wach_nku wa ben 10 (ben 10)
mangwariti kwa mbosho ni ka za 10k (10k)
niko maweng, mi ni zing, niite sensei (sensei)
peng’ akidai uber, ita senke (haha!)
addi teacher toka gaza matopeni (matopeni)
na hawa ma_n_gga wanajijaza, wachocheni (wachocheni)
na ka ma_diva mnabanja, jo, komeni (woo!)
utaririma, nitawalaza, we ngojeni (hahaha)
ukinitusi sitabonda, just another diss
bloodclaat, si huwachoma kama cannabis
kaa na this, uone venye mi nitakukang’a beef
b_tch boy, siku gani utasare uwaganis? (woo!)
kaa huna form hii nairobi, bosi hama
old school, mbogi huniita bossy bossiana
hobby naughty, kuchota mangoko, thotiana
kuwarudis choki, ni ka nimegoroki, ndio kwa maana
mtaa mbogi huniabudu ka tajiri fulan
na mi hucheza game bubu ka sirikal
na tunaleta vurugu, si siri, man
smady, og, guzu, na militan
[chorus: smady tings]
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_, yo (utaliet uki_)
si ndio kusema, shang’ inatema (si ndio kusema, shang’ ina_)
kila kitu si hudu ni warena (kila kitu si hudu ni warena)
utaliet ukikanashi warena (ukikanashi warena)
utaliet ukikanashi wa_ (utaliet uki_)
[outro: militan and khaligraph jones]
(digi doki)
(big shoutout to vinc on the beat, by the way)
كلمات أغنية عشوائية
- 渡辺曜 (you watanabe) - 恋になりたい aquarium كلمات الأغنية
- black chanel - ghouls on parade كلمات الأغنية
- bld coma - youngstar كلمات الأغنية
- winnterzuko - lol :/ كلمات الأغنية
- anh khoa - anh vẫn كلمات الأغنية
- ovan127 - print كلمات الأغنية
- pesen - bugatti كلمات الأغنية
- slutmee - цветы (flowers) كلمات الأغنية
- yeni inka - ora iso lali كلمات الأغنية
- peter lake - come over here كلمات الأغنية