kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbogi genje - medi كلمات الأغنية

Loading...

[intro: smady tings]
riang zetu ni kuseti
wolla medi, wolla vibe ni k_medi, medi
(ay, yo, chino, you again?)

[chorus: smady tings]
wolla vibe ni k_medi, medi
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti
wolla vibe ni k_medi, medi (wolla vibe ni k_medi, medi)
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti

[verse 1: guzman]
(guzu!)
ka ume_jam hebu kam niku_burn
niko na stoko, we ikiwaka haiezi land
wenyе riang na tumeenda sumashang
seti uzgan, ni hasho itakam
faya burn, na repay ya kuku_mash
juu versе mimi natuma dedication
kwa wale wote wanatu_rank to the top
we jiw_nges ka wallet to the ground
makali na barley jua ziko kwa riang
kama king kong tuna conquer
ni kutwara bila full stop
wata_patch hata bila full stop
mi ni mgenje wa kuwapanga
na kuwapasha kama tu kiranja
na natoa rada ya kuwawasha
diss ni ngeso kunywa kimbeko
[verse 2: reego micharazo]
waki_chain mahedi mi na_chain ma_uzz
mbogi yako rezi, mi nachill na guz
utaria udihe ukibanja upuzi
vako zako kutu hatunauwo ikus
kwa shedi mi hu_patch na mambogi
leta waganis, utachaiwa hadi mokish
underation ndio kitu sijatiii
na ma_mention ndio kitu wana_pree
maviding tukizidi na masling
rada chafu ndio riang wanabring
tukisnadi, warazi ni ku_breeze
tukisnadi, ma_aijin wanatii

[chorus: smady tings]
wolla vibe ni k_medi, medi
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti
wolla vibe ni k_medi, medi (wolla vibe ni k_medi, medi)
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti

[verse 3: militan]
marwab rwab, boss ngenje ni kujiseti
njiste kwa mayut ni ka rima
shw_ngsti fi di os kuwakweng den
wollipa tings, kujirieng, kuadisia
ni shari, kwa mongrel lima hus
livity ni ku_pree vitu genje
mawatii, kila wacho za kizing
kuwatiki kiwalabiz tukimedi
chino, ching ching, tuko nditni
inna dis here life, riang ni ku_humble
ghetto adi realest chaji
afarim, mg kuwa_mash up
shashola zinamuok ni magundu
wolla vibe na mayout, tuko zabe
babilien sijawahi nauwo riang zao
(babilien sijawahi nauwo riang zao)
[verse 4: smady tings]
kam slow, nitakuteki, teki
hatugwai si mavedi
tukinena iko heavy, heavy
utadhani si ni navy
mi sitambui ma_razy, razy
ka ni guoko, niko ready
bad mind never ready, ready
bad man hadi nidedi
niko guethe kwa shedi, shedi
nikisaka tu mapedi
tumezama hadi neti, neti
utasundiwa mcheti
ka ni para, nimedunga neti
ka ni hedi, mi huseti
mi hulinki tu abedi, bedi
kama kawa, ye huniseti

[chorus: smady tings]
wolla vibe ni k_medi, medi
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti
wolla vibe ni k_medi, medi (wolla vibe ni k_medi, medi)
riang zetu ni kuseti (riang zetu ni kuseti)
wolla vibe ni k_medi, medi (medi, medi)
riang zetu ni kuseti

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...