kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maua sama - yamenizidi كلمات أغنية

Loading...

[chorus]
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani

[verse 1]
baby, you’re my everything
you’re the air that i breathe
my love for you is real
njoo unipende na mimi
coz you’re my everything
i love you, baby
i need you here with me
njoo unipende mimi

[pre_chorus]
kama tukikosana, tukae chini
tuyaongee
we ndo baba, mi mama
everything will be okay
hata wakibana waje
na nyundo wagongelee
mi nawe, kuachana
haitokuja itokee
[chorus]
ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
nnaempenda asimame
ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
nnaempenda asimame
ayeee, ayeee, ayeeee
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani

[verse 2]
no one like you kati ya billion nane
nimekuchagua wewe
it’s only you
only you
oooh, baby youuu
hata tukizaliwa tena
nitakuchagua wewe
yes, i do
oooh, yes, i’ll do

[pre_chorus]
kama tukikosana, tukae chini
tuyaongee
we ndo baba, mi mama
everything will be okay
hata wakibana waje
na nyundo wagongelee
mi nawe, kuachana
haitokuja itokee
[chorus]
ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
nnaempenda asimame
ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
nnaempenda asimame
ayeee, ayeee, ayeeee
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani
haya mapenzi yamenizidi jamani
yamenilevya, yamenipanda kichwani

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...