
maua sama - this love كلمات أغنية
[intro]
imma the boy!
keeping the good music alive!!
[verse 1 : ben pol]
ninaona raha, nimepata furaha maishani
na kila saa, naona nuru iking’ara moyoni
na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
tizama leo watuona vichwae na matuni
[chorus : maua sama]
’cause this love was meant to be
niamini i’ll be your baby
nafanya utakalo ubaki nami
daima nami
’cause this love was meant to be
niamini i’ll be your baby
nafanya utakalo ubaki nami
daima nami
[bridge : ben pol & maua sama]
something about you
una rangi ya kipekee baby
tulia kw_ngu
bustani yangu ing’ae siku zote
something about you
una rangi ya kipekee baby
tulia kw_ngu
unilinde tusitengane maisha yote
[verse 2 : maua sama]
tukigombana haina maana kuyaanika
majirani wajue, kazi bure
nimekukosea, umenikosea
hakuna binadamu aliekamilika
muhimu msamaha na kutambua
ya kwamba moyo w_ngu umekuchagua
[chorus: ben pol]
because this love was meant to be
amini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
[chorus: ben pol & maua sama]
’cause this lovе was meant to be
amini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
[bridge : maua sama & ben pol]
somеthing about you
una rangi ya kipekee baby
tulia kw_ngu
bustani yangu ing’ae siku zote
something about you
una rangi ya kipekee baby
tulia kw_ngu
unilinde tusitengane maisha yote
[chorus: ben pol]
because this love was meant to be
amini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
[chorus : maua sama]
’cause this love was meant to be
niamini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
[verse 3 : maua sama]
’cause this love was meant to be
amini i’ll be your baby
i’ll be your baby
you’ll my baby
so never leave me, baby
pleeease
[chorus : maua sama]
’cause this love was meant to be
amini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
’cause this love was meant to be
amini i’ll be your baby
ntafanya utakalo ubaki nami
daima nami
keeping the good music alive!
كلمات أغنية عشوائية
- kings of convenience - singing softly to me كلمات أغنية
- the roots - game theory كلمات أغنية
- ed sheeran - pause كلمات أغنية
- new found glory - oxygen كلمات أغنية
- paula deanda - breathe كلمات أغنية
- kings of convenience - i'd rather dance with you كلمات أغنية
- five for fighting - i just love you كلمات أغنية
- dashboard confessional - write it out كلمات أغنية
- young dro - rubberband banks كلمات أغنية
- tv on the radio - a method كلمات أغنية