
maua sama - niteke كلمات أغنية
[verse 1]
kwako tetere nishazubaa
nipe mchele, usinipe chuyaa
uwache pele, tuliza pupa
oooh oooh
usije ukaniua titiri oooh
oooh nishakupa vyote vyako(ooh lalala)
mautam mamnato(ooh lalala)
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
[verse 2]
uma fiti, nidhibiti
ukimumunya pipi
utamu wa kisiginoni
nichikiche nichikichi
na shovu nnje ya kiti
leo unakesha kilindoni
nitw_nge nipepete
nisage nichekeche
nikande niumbuke
kilima nipandishe
kibinda mkoi mkoi(aaaee eeh)
kiwinda pori pori(aaaee)
naringa doli doli(aaaee eeh)
mawinga chori chori
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
mateka niteke
niteke teke niteke
mateka niteke
ooooh…
mwaga mwaga ma!
كلمات أغنية عشوائية
- elijah pierce - scarred كلمات أغنية
- la descendance - juste une cartouche كلمات أغنية
- murphy - jewel heist كلمات أغنية
- tsar-m - je veux vivre كلمات أغنية
- kikesa - 1000 façons كلمات أغنية
- mr. seuss - 1% كلمات أغنية
- lil windex - money don't bitch كلمات أغنية
- pablo do arrocha - porque homem não chora كلمات أغنية
- manic tl - blue cheese and the groovy ruger كلمات أغنية
- mnt squared - like i do (explicit) كلمات أغنية