
maua sama - baba jeni كلمات أغنية
[verse 1]
hivi we hufikiri hufikiri
kuwa nawe siwezi
kweli siwezi
kukupa moyo
eti tuwe wawili wawili
hizo share siwezi
kwenye mapenzi utaniumiza moyo
kwanza unanionaje
pisi kali yakwenda
tena nina jina mimi
nakuhifadhi unavimba, unavimba
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
[verse 2]
kwako nilijikwaa
kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
basi show ata ungeweza
ila nilituliza tu kamoyo kangu
kebehi na gubu
sina raha roho juu juu
baba utaniua kibudu
bora nidisappear
ey umesema ndo nanona
aloniteka amesoma
master ya mapenzi
sio diploma ananipa mie
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
كلمات أغنية عشوائية
- mando diao - a picture of 'em all كلمات أغنية
- vincent vincent the villains - killing time كلمات أغنية
- cast - higher كلمات أغنية
- mando diao - we're hit كلمات أغنية
- mario biondi - blackshop كلمات أغنية
- brian setzer - maria كلمات أغنية
- rhyme asylum - divine right of kings كلمات أغنية
- azu - happily ever after كلمات أغنية
- conway twitty loretta lynn - the letter (single version) كلمات أغنية
- rob zombie - we're an american band كلمات أغنية