
maua sama - amen كلمات أغنية
[intro]
aaaaaah aaaaah aaaaaah
aaaaaah aaaaah aaaaah (abbah)
[verse 1 : maua sama]
baby wajua
leo nina furaha, babe
and you is all i want
and i don’t need someone else babe
[verse 2 : ben pol]
nipe nipende kipekee
nitunze kwa moyo wote
nami mapenzi nikupe
sikwachi hata sekunde
[pre chorus : maua sama & ben pol]
na hisia zangu zakuita yeh
uingie moyoni
nawe uwe mw_nga w_ngu k_mulika
unitoe gizani
kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
nimpendae ni we ee tu, all day eh
kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
nimpendae ni wewe tu wifey
[chorus : maua sama]
atubariki, ameeen
na atulinde, ameeen
atuongoze, ameeen
milele yote, ameeen
wotе tuseme, ameeen
[verse 3 : maua sama]
walidhani sikufai
leo wanashangaa
ni siku yеtu ma babe
ndoto imekua
hata familia
wanafurahi ma babe
vile umeniwahi
kote wanikaa eh
shingoni kama tai (tai tai eh)
na leo najidai
heshima ulonipa
ya kuwa mwenzi wako milele
[verse 4 : ben pol]
daima (mama we) ntakulinda (mama we)
sina sababu (mama we) ya kukutenda
moyo w_ngu ni wako
ninakukabidhi peke yako wewe
fungua wa kwako
nifurahie pendo lako
[pre chorus : maua sama & ben pol]
na hisia zangu zakuita yeh
uingie moyoni
nawe uwe mw_nga w_ngu k_mulika
unitoe gizani
kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
nimpendae ni we ee tu, all day eh
kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
nimpendae ni wewe tu wifey
[chorus : maua sama]
atubariki, ameeen
na atulinde, ameeen
atuongoze, ameeen
milele yote, ameeen
wote tuseme, ameeen
كلمات أغنية عشوائية
- ramil qasımov - həyat sevgisi كلمات أغنية
- xtha - the one who remains كلمات أغنية
- harmonics - devil's backbone كلمات أغنية
- venjent - love yourself again كلمات أغنية
- john legend - heaven (johnny douglas remix) كلمات أغنية
- winner - raining -jp ver.- كلمات أغنية
- original west end cast of bonnie and clyde - this world will remember me كلمات أغنية
- axis (atk) - avoue que tu kiffes كلمات أغنية
- keagan hoffman - too much كلمات أغنية
- billa joe - highspeed* (snippet) كلمات أغنية