matonya - taxi bubu كلمات أغنية
[pre_chorus: matonya]
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
[verse: 1 _ fid q]
k_mbe ni taxi bubu, niliemuhusudu
akaniganda mithiri ya mdudu kupe
mchana za njano, usiku ana nyeupe
yaliyomo hayamo, lakini mi nimeona it’s not fair
[verse: 2 _ matonya]
kweli usilolijua usiku wa giza
kipenzi cha moyo leo hii kinaniliza mimi
hisia nilimpa yeye sababu ya k_muamini
ni chunusi si baharini, hata nchi kavu pia jamani wanathamani
mwenzenu nkasema labda nionapo picha ya kimwali mi ni hoi
k_mbe sivyo bwana, vile nilivyodhani awe w_ngu wa milele
hivi ndivyo alivyo kupenda anataka, kupendwa anaogopa
sababu ana mengi maovu asije umbuka
[chorus: matonya]
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 3 _ matonya]
ni bora ningejua mapema kama maisha yako wewe ni ya viwanjani
sio ufala, ulinizuga sana kwamba wewe huna hizo ni wa getini
mchana unakuja home mitandio kichwani
usiku ndo sikuoni
k_mbe mwenzangu mimi kiwanja kinondoni kwa macheni hamjui nani!
usiwaone tu machoni, pia kuna wengine mazugoni maofisini
k_mbe nao hao (kuwa nao)
k_mbe nao hao (cheka nao)
k_mbe nao hao
[chorus: matonya]
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k_mbe taxi bubu mchana namba za nyano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 4 _ matonya]
muamini akuamini, umvike madini
mkale kiapo mpaka mwaf_kiwa aridhini
sio kichochoroni, kavu kavu mdomoni
kakudanganya kuwa anaishi getini
hupatikana hata mitaani ukimwi
usimuamini kwa k_muona kwa macho
[chorus: matonya]
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
k_mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
كلمات أغنية عشوائية
- troy ave - dope boy (hands up) كلمات أغنية
- кравц - руку на ритм كلمات أغنية
- sinisphere - shifting scenery كلمات أغنية
- the legendary tigerman - these boots are made for walking كلمات أغنية
- kyki - safi كلمات أغنية
- snibunny - spinning in circles كلمات أغنية
- bonde da stronda - pega a visão كلمات أغنية
- britney spears - till the world ends (the femme fatale remix) كلمات أغنية
- exiting the fall - bloodline كلمات أغنية
- tènno morza - singers curse كلمات أغنية