
matonya - sio fresh كلمات أغنية
aaah aah…eeh
(its vanilla flavour)
ayee iyee, wowowoo ayaya aya
vipi ni nini jicho, nilichokosea
kaniweka gizani iii iii ii
ata siamini moyo, nitakufuata ulipo
umenitupa gizani iii iii ii
na mwili hutetema
ukinijia akilini
mi kwako mvuta njema
njoo nikuvushe mbinguni
hivi ni nini mapenzi
kunipa kilema aah
nikupe hili tonge
badala ya k_meza unatema aah
mama sio freshi
sio freshi
mama sio freshi
sio freshi
nihurumie
njoo unikinge kwa baridi sina mbawa
masikini mie
nishaona wengi ila we ndo yangu dawa
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
iyee iyaa, ah naiboi
mtu mzima mi nalia
moyo w_ngu ushaumia aah
nashindwa kuvumilia
mwisho ndio unakaribia
si hadi you be my 2 in 1 now
sasa problems what a gwan?
wanidunga usiku mchana
na mshale rama yangu
come come closer beiby show me love
naambiwa na mafans utanipoteza
na sio fresh
napiga, unalenga, ukishika unakata
unafanya nahema na sio fresh
ni wewe ndio napenda
na we ndo wanitenda
ka hii ndio ajenda
hiyo sio fresh
mama sio freshi
sio freshi
mama sio freshi
sio freshi
nihurumie
njoo unikinge kwa baridi sina mbawa
masikini mie
nishaona wengi ila we ndo yangu dawa
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
sio freshi mama
sio freshi ma_ma
كلمات أغنية عشوائية
- garren - f.o.a. كلمات أغنية
- goldee money - flexible كلمات أغنية
- dobri isak - sinoć si sanjao da si pas كلمات أغنية
- gustavo borges - requisito de junho كلمات أغنية
- red'n'freb - lille klinge ingen penge (feat. snabel lars) كلمات أغنية
- joxell rödd - looking for fireflies كلمات أغنية
- elijah liguè - twisted كلمات أغنية
- gari - more than friends كلمات أغنية
- jeec - smiling rain (oro) كلمات أغنية
- gteam - with you كلمات أغنية