matata - kata كلمات الأغنية
[intro]
matata, matata
[chorus ]
ni birthday ni party, ni yako
na maji tunakata juu yako
ma cookie na ma keki ni zako
we kam tu na caro, pitanga uki
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
[verse 1]
leo leo leo ni leo leo
ile siku, dudu hugeuka, kipepeo
ile siku paka huswing na kibembeo
ile siku hadi dogi zi huwika weaw meaw
nina doo za kuthrow form ni how how
mr luku luku swag ya ki bow wow
sio masoo ni mangire mathao thao
it’s your bash make a wish blow my candle
[verse 2]
nimecome na zawadi, kila aina
makolon na ma cladi za desighner
kabla twende bash kwanza twende diner
machapo machipo na take out za ki china
alafu leo dunga zile zina bana
zenyе mafisi wakiona, yes bana
alafu tip toe kidogo sio sana
mwambie aliyе kuzaa tumesema asant sana
[chorus]
ni birthday ni party, ni yako
na maji tunakata juu yako
ma cookie na ma keki ni zako
we kam tu na caro, pitanga uki
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
[verse 3]
kairetu ka ni keki kata
nakupata party umedunga bata
unakataa maji we ni drunken master
kiuno spaghetti na mimi ni pastor
githeri ya mary wa nyeri (ahhh)
sherehe na njeri ndumberi (ahhhh)
puliza candle wish icome true
peng ting me na handle age ni number tu
[verse 4]
sijaitwa bash nimekam kimangoto
zikishika nakwama kiroboto
na mzinga mi si buy mi si msoto
ka ni ngori sijajaa juu ya toto
wanapiga mboto matata kwa mtaa
nashinda loto nabado anakataa
leta champagne na chupaa za belaire
dufo mpararo leo tunaogelea
[chorus]
ni birthday ni party, ni yako
na maji tunakata juu yako
ma cookie na ma keki ni zako
we kam tu na caro, pitanga uki
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
[outro]
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote
kata, kata, kata kairetu kata
kata usiogope, leo tuna parteee
watuokote (okote)
كلمات أغنية عشوائية
- france gall - comment lui dire كلمات الأغنية
- france gall - chanson de maggie كلمات الأغنية
- francisco el chico elizalde - la mancha كلمات الأغنية
- francisco el chico elizalde - la miedosa كلمات الأغنية
- francisco el chico elizalde - pideme la luna كلمات الأغنية
- thicke - i'm not loving you كلمات الأغنية
- francisco el chico elizalde - la celda de un loco كلمات الأغنية
- frank reyes - no puedo vivir sin ella كلمات الأغنية
- thicke - follow my lead كلمات الأغنية
- frank reyes - contigo o sin ti كلمات الأغنية