kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

matata - denge كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
matata, matata
tuko na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

[chorus]
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
[verse 1]
ati tuko na madenge na vile waroro wanazungusha vibwenye
na denge sororo inataka enda na rieng’e
kunyenye senyenye biggy ka za wakavinye
ninyonye nifinye zikipanda sana ndege nishike nivinye
peleka na mutaratara
niwafanye vile nilifanya kina sarah
mamiti kijiti kiboko ah kikwara
haamini kid_cki kijogoo akilala
mkuna mkunaji kama w_lly pozee
magame ziko juu za mapinky pocket
design huku tuna wa picky pocket
inabaki denge ametoa siri zote

[chorus]
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

[verse 2]
tuko mavela na vela
chali ya aloe vera novela
ka ni dishi anjera
mbogi kibera mandera
ey mimi hapa niko makonyagi tu
cheki vile ngoko amenipanda juu
mosota ulalalala kichwa moja na koko
ngoko anajai tao moja ya kuku
manga(pekejeng pekejeng)
baby leo tuna pekejeng pekejeng
hakuna kilami bonga sheng, bonga sheng
githaa ikifika tukabeng tukabeng
na ngoko kameiva ni kapeng ni kapeng
aaah stop
cheza gengetone
ikibamba sana wapi nduru weka ringtone stop
cheza gengetone
mabombe kwa mahaga wamejaza silicone
[break]
tuko na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

[chorus]
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

[verse 3]
hii ni denge ya makoro na makuro na matoto
tangu mi nishike doh wananilamba sana lolo
zile ndoto wao hupata wakiwa usingizi wa pono
wanasingizia zile sinema za kipono pono
wanapenda sana ngono slide in konokono
mi nishanawa mikono ready kuwapa mifano
mi nina stingo kali kali mpe tena(weng weng)
ugwiji kushinda za china si za ki taiwan
zinapiga hadi masoma kung feng tai cheng
ni za mayolo fanya zina peng peng
niko maji na makoro najiona ben 10
na madem wananiborrow 1, 2, 3 feng
nawapigisha tu michoro zig zaga zeng zeng
sai nasoma zidi morio mi niko maden deni
[chorus]
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

[verse 4]
piki piki maua, aah ua aah
jigi jigi naua, aah ua aah
piki piki maua, aah ua aah
ni pan pan panua, aah ua
unaua kama lucy wa juzi
kapus keusi msupa tausi
nikishika ki ngwe niite boss kubwa
mi ndo plug wa hii mtaa niite babu kubwa
mi niwai niwai niwai, masela yes niwai
mangwai mangwai, mangwai yes mi niwai
walahi walahi walahi alhamdullilahi
zimeshika, zimeshika, zimeshika

[chorus]
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge
zimeshika tu makoro na mambus wanatuborrow
kuishika tu bakora mi nacheki kama horror
na madenge denge denge
tuko na madenge denge denge

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...