
masterland - ndagufuhira كلمات أغنية
ndagufuhira lyrics
kuna wengine
hawataki kuona furaha yako
na saa zingine
wanataka kuona kilio cako
wanatamani kipenzi uanguke
wacheke
la moyoni penzi langu mi na we
livunjikee
pre chorus
so would you let me kiss you
let me kiss you so tender
would let me tickle you so that you laugh and laugh
chorus
kama aungekua w_ngu
kama usingekua w_ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
verse 2
umeniponya machozi ya moyo
kwako nilisha tuliya
upweke uzuni moyoni
vilio vyote umenivutiya
sina wasi wasi ndani ya nafsi kwa sababu niko nawe
wala mitikasi
majonzi basi
baby furaha yangu ni wewe
pre chorus
so would let me kiss you
let me kiss you so tender
like i give you bath
would you let me tickle you so that, you laugh and laugh
chorus
kama aungekua w_ngu
kama usingekua w_ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
bridge
wanasema saana
usijali ama na izo lawama
mi nakupenda saana
mi nawe tutafana daima
wanasema saana
usijali ama na izo lawama
nakupenda saana
hook
oooooh oooohhhh,….
chorus
kama aungekua w_ngu
kama usingekua w_ngu
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
mba nkubona nkagufuhira, mba ngufuhira
كلمات أغنية عشوائية
- bellamy brothers - i love you (more and more) كلمات أغنية
- beastie boys - and what you give is what you get كلمات أغنية
- bellamy brothers - nothin' heavy كلمات أغنية
- frank black - blast off كلمات أغنية
- beastie boys - light my fire كلمات أغنية
- bellamy brothers - hell cat كلمات أغنية
- frank black - llano del rio كلمات أغنية
- beastie boys - awol كلمات أغنية
- bellamy brothers - vertical expression كلمات أغنية
- frank black - how you went so far كلمات أغنية