kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

masai black gold - kura yako كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
(eh, eh, eh, eh, eh, eh)

[hook: guymoja]
bude! kura yako!
iko wapi hiyo kura yako?
mathe! kura yako!
tuonyeshe hiyo kura yako!
msupe! kura yako! (eh!)
mrembo, iko wapi kura yako?
brathe! kura yako!
kijana toa hiyo kura yako! (eh!)

[verse 1: kolosole]
kura yako
kura yako, kula yako, uma vako
stay black like charcoal
concrete jungle confuses us
white collar, bipolar, think before you leap
open up lip, ati, “hip hip!”
we’re being played like skits
on your pit then spit, exercise tricks
eclectic thieves, sheeps, dog, pirates, tyrants, priests and politicians are magicians
your vote, your choice, your vote, your noise
politicians roll in rolls royce
mandem rolls in twelves
money and other spoils spoil
spoil, spoil then you coil
yeah, kura yako, kula vako, that’s how it is (kula vako)
and it will always be like that
ero! masai black gold
your voice, your choice, your vote (exactly)
you know how it is (yeah, yeah, yup, yup)

[hook: guymoja]
bude! kura yako!
iko wapi hiyo kura yako?
mathe! kura yako!
tuonyeshe hiyo kura yako!
msupe! kura yako! (eh!)
mrembo, iko wapi kura yako?
brathe! kura yako!
kijana toa hiyo kura yako! (eh!)

[verse 2: guymoja]
hii kura inani-bother sana, nafaa ku-register mapema, bana
ingawa sipendi politics, siasa, sana
nafaa ku-register, sababu mi kijana
“fat politics,” that is what i’d say
but since i’m grown, i’ll play my age and take my vote
yaani chukua kura, sitaki kuchekwa nikae ni kama chura
mps now wanani-let down
hawataki ku-develop our own town
wana-spread hate na chuki
watu waji-arm na kisu na mkuki
wanaiba, wengine makauzi
lakini kura yako iko na ujuzi
ya ku-rectify na ku-deny any chance for leaders wanaudhi

[hook: guymoja]
bude! kura yako!
iko wapi hiyo kura yako?
mathe! kura yako!
tuonyeshe hiyo kura yako!
msupe! kura yako! (eh!)
mrembo, iko wapi kura yako?
brathe! kura yako!
kijana toa hiyo kura yako! (eh!)

[verse 3: diablo]
mi sijali kuhusu sura yako
ukikula ndimu, shida yako!
sitapoteza wakati nikipiga line kuingisha voucher ndani ya kiti
siwezi jali, mwenye anijali
mkate inapanda na amani inashuka
brathe, katanuka!
watatupiga mapanga, watatuua
it’s a snake-eat-snake society
(blame muslims for grenades)
so i guess i’m a terrorist ’cause the cops still chasing
but they can’t catch this bandit
and i won’t give my vote for no one
(i’m a rebel forever)

[hook: guymoja]
bude! kura yako!
iko wapi hiyo kura yako?
mathe! kura yako!
tuonyeshe hiyo kura yako!
msupe! kura yako! (eh!)
mrembo, iko wapi kura yako?
brathe! kura yako!
kijana toa hiyo kura yako! (eh!)

[verse 4: daktari dada]
kwa line, kura yako
kura yangu, kaa ni kw-ngu, votes zina-come tu
that’s the bottom line, the country’s in decline
should i guess? should i freestyle?
would it be wise? pain for my franchise
stop blaming the white guys
eyes open, they cryin’
people dyin’ in style
recover like seven tribes
scared of wealthy ties, forget their lies
do what’s right
vote to choke the up-close political joke they invoke to the broke
toke after toke, like slow-moving smoke
(yo, smoke? what’s happenin’?)

[hook: guymoja]
bude! kura yako!
iko wapi hiyo kura yako?
mathe! kura yako!
tuonyeshe hiyo kura yako!
msupe! kura yako! (eh!)
mrembo, iko wapi kura yako?
brathe! kura yako!
kijana toa hiyo kura yako! (eh!)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...