
marlaw - rita كلمات أغنية
ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita, rita
ooh rita oh no no no
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw_ngu haupo
umepotea sikuoni kamwe
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
aaah rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana
jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana
ila we unajua ni yako familia
damu yangu ya bongo si ya asia
ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa
k_mbuka ile mimba ndio iliyokufanya
ukaja kw_ngu (ulif_kuzwa kwenu)
ulijifunguapo mtoto na wote
mkaishi kw_ngu (ukawachukiza kwenu)
na taarifa ikaja kwako wewe rita
uende arusha nduguzo wanakwita
ukani_kiss kiss mimi na mtoto
nikakukiss hey hey
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw_ngu haupo (hata nyumbani kw_ngu)
umepotea sikuoni kwamwe (haupo)
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
ni tangu arusha hadi iringa simu inaita napokea unalia
kurudi iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia
ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee
mwanao _n_lia, ona mumеo ni bora ninywe pombe
ila kwa penzi uka_forcе kurudi
piga simu mume w_ngu nakuja
na maneno ya konda kwenye basi ulifika
alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa
ile siku mi nimelewa
niko mi na mwanangu k_mpokea mke w_ngu
konda akasema si wewe, ila tu mwili wako
sauti inasikika tega makini
hujui nani inamwita iih iih
chozi latoka nitazamapo angani
naona sura ya rita iih hii
ona mikono yangu mitupu (ona mikono yangu)
imezoea kukushika we
hata nyumbani kw_ngu haupo (hata nyumbani kw_ngu)
umepotea sikuoni kamwe (haupo)
ooh rita, ooh rita
daily nakuwaza wee
ooh rita, ooh rita
mimi nitanyamazaje?
ooh rita rita ahh na marco chali
ndani ya mj records
this is true story to marco
rita, rita, rita
aaah hata nyumbani kw_ngu haupo!!
كلمات أغنية عشوائية
- robert sin - inward... كلمات أغنية
- deni (edm) & amaki of with you friends - the perfect rave كلمات أغنية
- the merkins - one last meal كلمات أغنية
- hela mid & maretu - aishiteitanoni/even though i loved you (english cover) كلمات أغنية
- alice cooper (band) - up all night كلمات أغنية
- redimi2 - exagerado amor كلمات أغنية
- voidboy999 - кола كلمات أغنية
- lt.jaz - see me كلمات أغنية
- twinkle brothers - evil doers كلمات أغنية
- baby melo - мнение (opinion) كلمات أغنية