kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mark masha - nasimama ( i stand) كلمات الأغنية

Loading...

verse 1
nasimama kwa imara na haki (i stand in courage & justice)
najitokeza kwa imani ( i am covered by peace)
natembea kwa uwezo wa bwana ( i walk by his strength
kwa ujasiri na tambiri ( i prophesy in confidence)

verse 1 repeat

chorus
nimwogope nani (whom shall i fear)
gongo lakunifariji (rod that encourages me)
nimwabudu nani (whom shall i worship)
mfalme wa imani (king of my faith)

milele eh eh milele
milelе eh eh milele

verse 2
kwa furaha shangwе na nderemo ( in joy and praise)
tunamwabudu mungu mkuu ( we worship the lord most high)
toka mwanzo hadi hivi sasa ( from the beginning till now)
mwenye haki amelindwa ( the righteous is protected)
chorus
nimwogope nani (whom shall i fear)
gongo lakunifariji (rod that encourages me)
nimwabudu nani (whom shall i worship)
mfalme wa imani (king of my faith)

milele eh eh milele
milele eh eh milele

bridge
kwa imani na kaza mwendo ( by faith, i am determined)
msingi w_ngu ni bwana yesu ( my foundation is christ)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...