marioo - ya uchungu كلمات الأغنية
wakisema tutaachana ongeza nipenda zaidi ya jana
wakitamani tuuzunike tufanye sherehe
baby nipe tena kama jana
wanatamani yanibubujike
ukintenda kiutani utani utaniua eeeh
mi juu yako nshatamba sana ntaambia nini watu
weh ndo faraja maishani usiniue eeeh
milele kufa kuzikana nishachora tattoo
hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh
ntaificha wapi sura utanitia doa
hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh
ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
ya uchungu
ya uchungu
ya uchungu
ya uchungu
achana na mapaka shume wataponza uch0m_e
wasije wakakufunza unikomoe
wala hawatokuwa na maana lengo penzi walibomoe eeh
lazizi weeh
basi fanya usinibiboe
maana moyo w_ngu utaumia utaumiaaa aah
afu nafsi yangu itajutia itajutiaa
hata ukiniacha usifanye ukatoka na kina nanii eeeh
ntaificha wapi sura utanitia doa
hata ukiniacha vya ndani vibaki siri weh na me eeeh
ntaiweka wapi sura ntaiona dunia
ya uchungu
ukiondoka ukiniacha mwenzako ntaumiaa
ya uchungu
litanilemea litaniuma sana
ya uchungu
maradhi ya mapenzi nnayo yanaumiza
ya uchungu
mwenzako aaah eeh eehh
mwenzako napenda napenda vibaya
ukiniacha nitaumia
ukiondoka ntaumia
itaniumaa
itaniuma
ukiondoka ntaumia
itaniumaa
itaniuma
كلمات أغنية عشوائية
- der echte marian - bei nacht كلمات الأغنية
- augustyn (buddha boi) - only way كلمات الأغنية
- kuznetsky squad - рич форевер 2 (rich forever) كلمات الأغنية
- lil buck50 - evergreen كلمات الأغنية
- agsunta - would you mind كلمات الأغنية
- prosto label - zwiastun كلمات الأغنية
- аквариум (aquarium) - герои (heroes) كلمات الأغنية
- marko silva - pa saber amar كلمات الأغنية
- iamnix - trick or beef ii remix كلمات الأغنية
- better person - zakochany człowiek كلمات الأغنية