
marioo - wangu كلمات أغنية
[intro: marioo & harmonize]
yeah
yow, yow, (hehe)
(coughs)
bomboclaaa_, (hehe)
aah_ah
kutoka, haloo
[verse 1: marioo]
kama utani moyoni ameingia
na mi nimeshazama
tulikutana tiktok ndio mwanzo kufahamiana
mara ghafla, bin vu!
kila kitu tunaendana
ameninasa ka ulimbo
sitaki acha k_mtazama, weeh
[pre_chorus: marioo]
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
[chorus: marioo]
asa nataka wajue unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w_ngu)
kwa wasio amini we ni w_ngu ‘niite, “my”
(my w_ngu)
hata ukiniposti caption andika “sweetie”
(sweetie w_ngu)
wakija kukutongoza waambie ‘mi na mpenzi, hey
(mpenzi w_ngu)
[bridge: harmonize]
mh_mh
uh…
konde boy call me number one
[verse 2: harmonize]
muombe mungu uzima
tatizo la mapenzi kanituma mimi
nikupe…
ni kupende
iwe madimbwi, milima
we fly any weather
wa ubani ndio mimi wa upendo
nikupe… (mh_mh)
ni kupende
muoga wa ku_cheat, ndio huwezi
ya uongo ndio kabisa siwezi
nalikizama unao tamba ni mwezi
nakuposti wajue sijiwezi baby
[hook 1: harmonize]
ona, penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
(ah, doh)
kama maji ya bomba
[post_chorus: harmonize & marioo]
mi nataka wajue kama unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w_ngu)
na kama ukiniposti snapchat ‘niite, “my”
(my w_ngu)
you’re my one and only, my love, my sweetie
(sweetie w_ngu)
wakija kukutongoza wajibu ‘wewe unaye mpenzi
(mpenzi w_ngu)
[outro: harmonize]
bomboclaaa_
كلمات أغنية عشوائية
- bar - synd att du är så söt - original version كلمات أغنية
- scare don't fear - monster (remix) كلمات أغنية
- scarface - i don't know كلمات أغنية
- günther & the sunshine girls - ding dong song - xl version كلمات أغنية
- boo hoo - drive كلمات أغنية
- glamour - bills, bills, bills كلمات أغنية
- mick jenkins - thc كلمات أغنية
- kid loco - the attention span of a butterfly كلمات أغنية
- artie shaw & his orchestra - it had to be you كلمات أغنية
- dinosaur jr. - outta hand - 2007 remastered version كلمات أغنية