
marioo - nairobi كلمات أغنية
[instrumental intro]
ooh, ooh yeah
kutoka, haloo
mm, mm
(it’s cannibal)
[verse 1: marioo]
nilikutana nae ‘kilimani, nairobi
2015, ‘kibaridi cha asubuhi, ki jua fulani sio kikali, saa tano
oh, nairobi ‘2015
nikamchagua yeye, katikati ya wenzake watano
ah
nikamuomba, akaniomba ‘number
moyoni mw_ngu nikampa ‘moja
she’s my number, number, ‘moja
nikamuomba, akaniomba number
moyoni mw_ngu nikampa moja
now, she’s my number, number, ‘moja
yaani namaanisha kwamba…
[chorus]
ndio tushaoana
tushaoana
ndio tushaoana
ndio tushaoana
[instrumental break]
[bridge: bien]
tushaoana
tushaoana
tushaoana
tushaoana
tushaoana
tushaoana
[verse 2: bien]
tulipatana bongo, ‘mikocheni
niko zangu beach nala upepo wa bahari
alinipita kama meli
anayumba, yumba akidondosa kishenzi
oh, mikocheni
nikamfuata utadhani zombie
habari gani, mbona uko lonely?
jina ni gani? ‘akasema, zai
nikamwambia aje (aje)
nikamwambia kw_ngu ni kwake
nimshike wapi, ndio aje
nataka moyo w_ngu uwe wake
watangoja sana
wakidhania tutaachana
mimi na yeye tumeshaivana
naichapa usiku na mchana
yay, yay, yay
yaani namaanisha kwamba…
[post_chorus: bien & marioo]
ndio tushaoana
(nishaoana na yeye, sa mi ? na yeye)
tushaoana
(nishaoana na yeye, sa mi ? na yeye)
ndio tushaoana
tushaoana
tushaoana
tushaoana
ndio tushaoana
tushaoana
tushaoana
tushaoana, ah
oh, yeah, yеah
tushaoana
oh, oh, haloo
كلمات أغنية عشوائية
- ruggero - espejo كلمات أغنية
- יובי - שיר מספר 1 - אינטרו - uv (israel) كلمات أغنية
- intensiv mc - succes كلمات أغنية
- weial - falldown كلمات أغنية
- sunshine christo - fifty freestyle كلمات أغنية
- expectations - the bottom كلمات أغنية
- 森高千里 (chisato moritaka) - new season كلمات أغنية
- b.u.g. mafia - ceva pentru care merită să mori كلمات أغنية
- tnt aka technoboy ‘n’ tuneboy - the eighth note كلمات أغنية
- iamdefault - nada é real كلمات أغنية