
marioo - mapenzi كلمات أغنية
sinyw_ngi mitungi
sivuti mafegi
eti iihhh
silagi mapepe
sina kilevi
chukua gari yangu kagonge kagonge
nitapeleka kwa fundi
itarudi mpyaa
chukua mali zangu zisombe zisombe
ila kwa bebi w_ngu
utarudi kibogoyo
ooh jamani naa viuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
kama mapenzi ni pesa
basi sio shilingi
ya nani
ya nani
kama mapenzi shoo kali
afu sio kitandani
asa mapenzi ndio nini
na mbona nayapenda
hakuna raha hakuna raha
kama kuliliwa na mpenzi
kimapenzi nyie
ooh jamani nina viuuu
napenda mapenzi
napenda kupendwa
ohh lalila lalaah
hata mkiskia
nimejinyonga
basi mjue
ye ameninyonga
mkiskia
nimejiua
basi mjue
ye ameniva
mapenzi
mapenzi
mapenzi
mapenzi
كلمات أغنية عشوائية
- del amitri - go home too some كلمات أغنية
- deja voodoo - your boyfriend sucks كلمات أغنية
- deja voodoo - randy كلمات أغنية
- luz casal - los 2 كلمات أغنية
- tom waits - the ghosts of saturday night (after hours at napoleone's pizza house) كلمات أغنية
- deja vu - rhythm & rule (reasons to live) كلمات أغنية
- deine lakaien - the dive كلمات أغنية
- deine lakaien - love me till the end كلمات أغنية
- deine lakaien - colour-ize كلمات أغنية
- dein schatten - woanders sein (interbreeding iv remix 2004 by timo donati) كلمات أغنية