marioo - manyaku كلمات الأغنية
blacq, blaq
they call me toto bad
sir god kauba kapatia
hana dosari ana vutia
sebure kwa chumba kajazia
lahda asali ana natia
akitupia ana pendeza
kama mdori
lips colour mpaka raha kama kachori
namba d car hajatembezwa bado kigori
kama kungu kala
mpaka raha
jicho goroli
kama samaki sangara
hiyo miyo mikogo (wacha bwana)
manyaku kama nawaona
nimacho kodo mieee
akini touch touch
moyo una dundaga
una dundaga
akisema sitaki
akinuna moyo una dundaga
una dundaga
wapo watao sema hunifai
ili wakuchukue
vaniachie majanga
penzi wa chakachue
watakodi madinga ma tai
ili wakuzuzue
wajitie waganga
penzi waligangue
ujasiri sina wa kuvumilie
unapo amizwaa
huo moyo sina
nikizama kina mpaka
kama samaki sangara
hiyo miyo mikogo (wacha bwana)
manyaku kama nawaona
nimacho kodo mieee
akini touch touch
moyo una dundaga
una dundaga
akisema sitaki
akinuna moyo una dundaga
una dundaga
manyaku nyaku
manyaku nyaku
كلمات أغنية عشوائية
- kate bush - in search of peter pan (2018 remaster) كلمات الأغنية
- nikki williams - hold on to me كلمات الأغنية
- yungcastrooo - how i really feel كلمات الأغنية
- flock of dimes - time كلمات الأغنية
- first of october - dorian كلمات الأغنية
- dero goi - one of us كلمات الأغنية
- nxnetherapper - out of pain كلمات الأغنية
- chuckklez - the eater of worlds كلمات الأغنية
- b2nny - busy now كلمات الأغنية
- gerricho wright - note to self كلمات الأغنية