
marioo - kongoro كلمات أغنية
mi ningefanya na nani
kama usingekuwaga wewe
mapenzi ningeyajuliaga wapi
j_po na uzuri wa angani
nami kifaranga we mwewe
na wala hujanifanya kitu mbaya
nishapitiaga magharibi
nikatokeaga mashariki
nikachomwa jua na baridi
kusafa sifa kama zako
kwako nimetulia maji kwenye mtungi
utake nini nikapambane nikupatie
mi kwako nimefika kigoma mwisho wa reli
ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia
kongoro! na si nitakonda nitabaki mifupa
kongoro! mwenzako mawazo yatanimaliza
kongoro! ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
kongoro! aaa yii aaah aah
kwanza nani atatokea
awezekano _ ndengea
chakula cha usiku nisosomo
nisosomolee
nani atajua kuniponza ka siko sawa
turumbwe na usahifu aah
nikiambiwagwa mabaya ya kuhusu wewe
masikio in_z_ba yenyewe
sielewagi naona vitu vyajipa vyenyewe
kwako nimetulia maji kwenye mtungi
utake nini nikapambane nikupatie
mi kwako nimefika kigoma mwisho wa reli
ukiniacha na wewe nitapururuka nitabakia
kongoro! na si nitakonda nitabaki mifupa
kongoro! mwenzako mawazo yatanimaliza
kongoro! ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
kongoro! aaa yii aaah aah
kongoro! na si nitakonda nitabaki mifupa
kongoro! mwenzako mawazo yatanimaliza
kongoro! ukiniacha mwenzako nitaliwa na upweke
kongoro! aaa yii aaah aah
mi nitakonda nitabaki mifupa
mwenzako mawazo yatanimaliza
كلمات أغنية عشوائية
- kt gorique - wassup كلمات أغنية
- coaastgxd - dead inside كلمات أغنية
- alexander jm - dime كلمات أغنية
- begho - euphoria (outro) كلمات أغنية
- deko - time كلمات أغنية
- nedal nib - für die fam كلمات أغنية
- sovereign grace music - only jesus كلمات أغنية
- flight distance - bottom of the ocean كلمات أغنية
- fran laoren - like us كلمات أغنية
- bulletnacir - whippin the whip كلمات أغنية