
marioo - kijiti lyrics
[instrumental intro: marioo & dully sykes]
it’s cannibal
mh
mbwooke, di gyals dem k!ller
na cannibal
kutoka, haloo
[verse 1: marioo]
mwanamke apewe hela nyingi, eh_enhe
mwanamke apewe matunzo,(kuhudumia), mwanamke apigwi ngumi jiwe, eh_enhe, mwanamke ana dekezwa
bebe zinapenda wanaume kama sisi, ‘sisi tunapenda wanawake wazuri
bebe zinapenda wanaume wanukie, ‘na sisi raundi hii tunanukia hela
[pre_chorus]
i do like woman (go, baddy, go), i do like woman (bri_bang, bang, bang), i do like woman (go, baddy, go), i do like woman
[chorus: marioo]
hakuna mkate mgumu mbele ya chai, chai
washa kijiti, ‘kijiti; watoto wanapenda kijiti, ‘kijiti, wawashie kijiti, ‘kijiti; watoto wanapеnda kijiti, ‘kijiti
[verse 2: dully sykes]
tuko bize kutafuta hela juu, chini, mchana usiku yote kwa sababu ya mapеnzi
watoto sikuhizi hawapendi stori, hawapendi majigambo, wao wanapambe, wana shoo (shoo kali)
bize kutafuta hela juu, chini, mchana usiku yote kwa sababu ya mapenzi
watoto sikuhizi hawapendi stori, hawapendi majigambo, wao wanapambe, wana shoo, bri_bang, bang, bang, eh,(shoo kali)
[hook: dully sykes]
sunna wa nne, mmoja hanitoshi, nataka wa nne
mami, i say, sunna wa nne, mmoja hanitoshi, nataka wa nne
[pre_chorus: dully sykes & marioo]
i do like woman (go, daddy, go), i do like woman (mbwooke)
(haloo), i do like woman, (go, baddy, go), i do like woman
[chorus: marioo]
hakuna mkate mgumu mbele ya chai, chai
washa kijiti, ‘kijiti; watoto wanapenda kijiti, ‘kijiti, wawashie kijiti, ‘kijiti; watoto wanapenda kijiti, ‘kijiti
[outro]
i do like woman
Random Lyrics
- jonny trap lord & forrest black - midnight purple lyrics
- lausse the cat - ciao bella lyrics
- youth alive - the promise lyrics
- ntrl (band) - gak asik! lyrics
- thirty40 & phil is lonely - thisisahappysongithink (remix) lyrics
- young dunk feat. diego - had too lyrics
- zone 2 - brothers keeper lyrics
- lonewolf (metal band) - the hour zero lyrics
- nika - se acaba el corazon lyrics
- flaco (fr) - space jam lyrics