
marioo - hapana lyrics
mmh kapipo
mmmh yeeeeh
mi mwenzako sina tena
mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu
aah mi mwenzako sina tena
mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu mmh
let me know baby let me know
wapi nakosea labda mbona imekua ghafla plz baby no
let me know baby let me know
wapi nakosea aah kipi sijakufanyia eeh
ahadi ni deni mi nakudai husisahau
umenizamishaa no baby no
hapana hapana hapana
hapana hapana hapana
hapana hapana hapana
hapana
hapana hapana hapana
hapana hapana hapana
hapana hapana hapana
hapana
na ntaambia nini watu
wakiniona nalia wakiniona chozi lanitoka
wajua maneno ya watu hayanaga pazia
kama najiona roho nitavyonitoka aaah
shida ni kwamba utaondosha amani yangu
yote thamani yangu inazama yooh
shida ni kwamba utaondosha radha yangu
na yote thamani yangu ndogoo
ahadi ni deni mi nakudai
usisahau umenizamisha no baby no
aah no no no no
aaaah eeeeeh
aaah hapana
Random Lyrics
- madeline bell - you're a winner lyrics
- hailen - never give it up lyrics
- arvingarna - kung i stan lyrics
- porçay - keşke azınlık olsaydım lyrics
- gordon lightfoot - return into dust lyrics
- mount era - say that lyrics
- jaywillzofficial - vero lyrics
- chief connz - the ville lyrics
- assassin - war song lyrics
- mega mango - feel this way lyrics