marioo - chi bonge كلمات الأغنية
kama kupenda maradhi
niko hoi taabani
na kama kutangaza nakupenda kosa nifungwe
kama kupenda upofu
me sioni me sisikii
ndo maana natangaza nakupendaa
we mwisho w_ngu mie
sichepuki ma kona kona
au upo na niugue
ukifika napona pona
na rangi yako black me nakuona white
we kifupi nyundo nakuonaga munahgaa
na nakuona motoo mwepesi mmh aah
j_po chi chi chibonge
ah chi chi chi chibonge
chi chi chibonge
ah chi chi chi chibonge
ah minyama tu
akipita minyama he
anatingisha minyama tu
vile akipita minyama (hee)
ah minyama tu
akipita minyama he
anatingisha minyama tu
vile akipita minyama
hee
minyama
stone boy
shepu ya mabonde mabonde
nimeridhia
ntak_miliki usikonde
hataa nkifulia
oooh bebi unashow za ng’ombe mbuzi wanakimbia
nauosha hu mwogo wa jang’ombe leta sufuria
baby usijipe stressi
we kibonge mwepesi
wa ruka mpaka sarakasi
samba kareti unajua
hips kiuno shangaa una macheni machеni (baby you like donosso)
mdomo lips nyembamba kiuno chako feni (girl i gotta makе you know so)
chi chi chibonge
ah chi chi chi chibonge
chi chi chibonge
ah chi chi chi chibonge
chibonge
ah chi chi chi
chibonge
chi chi chibonge
ah chi chi chi chibonge
ah minyama tu
akipita minyama he
anatingisha minyama tu
vile akipita minyama
hee
minyama
mwenzako me napendaga vibaya
baya baya
mwenzako me naugonjwa wa moyo
moyo moyo
mwenzako me napendaga vibaya (baby you like donosso)
mwenzako me naugonjwa wa moyo (girl i gotta make you know so)
abaa aba aba aba
كلمات أغنية عشوائية
- nirgilis - my alien كلمات الأغنية
- the ziggens - surf^3 كلمات الأغنية
- solomon & xnrst - prima regulă كلمات الأغنية
- rin音 (rinne) - heaven town كلمات الأغنية
- dressy bessy - tiny lil robots كلمات الأغنية
- lamp - 最終列車は25時 (last train at 25 o'clock) كلمات الأغنية
- journey - holdin on كلمات الأغنية
- marz prince - back now كلمات الأغنية
- godmonti vert - fever dream كلمات الأغنية
- lost love (qc) - punk enough (many snake(s) pt. ii) كلمات الأغنية