marioo - anisamehe كلمات الأغنية
mwenzake nimeteleza
kunihuk_mu ananionea
mwenzake nimeteleza
ananikuk_mu ananionea
aaah nmemzoea
na siwezi kuishi bila yeye
aaah ye ndo nampenda
sijiwezi mama nakufa
basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
vanny boooy
sura nzuri atabasamu
ukimuona hapendezi
na makosa yetu wanadamu
pekeang siwezi
uuuyeee
nalewa nakesha
aniokoe kabla cjawa malaya
nalewa nakesha mimi
aniokoe kabla cjawa malaya
basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambieni anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
nenda kamwambie babe
ninataka tena alichonipaga
nenda kamwambie babe
anikune tena anaponikunaga
chuuiii
كلمات أغنية عشوائية
- josef salvat - one more night كلمات الأغنية
- cicadia - sleep serum كلمات الأغنية
- dissinfectant wipes - hail gnaw كلمات الأغنية
- yo! the moon - what i'll grow to be كلمات الأغنية
- ayo river - promises untrue كلمات الأغنية
- luke bryan - country does كلمات الأغنية
- kdrecords - it's all your fault (suicidal thoughts) كلمات الأغنية
- lucas nino - falling كلمات الأغنية
- nish (artist) - from the la1 كلمات الأغنية
- @veequeen - a massage from me to u كلمات الأغنية