kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

manasseh shalom - fahari ya kenya كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1]
msichana wa kenya
je unajua
uliumbwa ukaumbika
beauty and strength
your worth is endless
when i saw you walking down the street
i remembered
mighty syokimau
and the heroes of old
wakitabasamu
stronger than ever
msichana wa kenya
[chorus]
cheza kama wewe
dunia twakungoja (twakungoja)
ewe malkia wakati wako umefika (wakati wako umefika)

[verse 2]
some say god is a woman
we say you’re our pride
african jewel
the curls on your hair
and beads on your waist
i can hear heritage say
when i see you
walking down the street
your smile
striking down the sun
african woman
asante sana
for redifining
kipi kirembo
msichana wa kenya

[chorus]
cheza kama wewe
dunia twakungoja
ewe malkia wakati wako umefika
[]
nishike mkono
ingia tukuone
na mimi rafiki
nitakulinda
fahari ya kenya
twende (yelele yelele yelele)
wewe ndiye
fahari ya kenya (yelele yelele yelele)
w_ngari maathai (ya kenya)
mwende (kenya)
chebet (kenya)
jina lako ni
fahari ya kenya
julieta (ya kenya)
wairimu (kenya)

[outro]
cheza kama wewe
dunia twakungoja
ewe malkia
wakati wako umefika
ewe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...