
malosh - nazizika كلمات أغنية
[guitar instrument]
[verse 1]
ahhhh, ahhhhh, ahhhhhh
i see you walking through your door, na kenye nitafanya baby mi najijazia
nasema mi sijali like i don’t give a d_mn, lakini mbona basi kila saa nachungulia
ohh mara nikae, oh mara nisimame ama nibishe hodi kama fala nijifanye
nacheka kama chizi k_mbe ndani mi nalia, navumilia juu hadi siwezi kuambia vile
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochote utataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n_z_ficha
n0body, n0body knows juu bado n_z_zika
[verse 2]
ok ni sawa ni sawa najiblame, sazingine ni mi ndio nashindwa what to say
ndio maana najificha ukiniona najificha juu sitaki niaibike
najua mi nasleki niongoje, ni vile hii mapenzi ni ya wenyewe
ni vile mi tu ni mgeni, ndio maana sisemi
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochote unataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n_z_ficha
n0body, n0body knows juu bado n_z_zika
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows juu bado n_z_ficha
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows
n0body, n0body knows, n0body knows juu bado n_z_zika
[bridge]
mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipеndeza kama we
kinipatia muda nami najua ni we chochotе utataka nitakupa
[chorus]
n0body, n0body knows siri zangu bado n_z_ficha
n0body, n0body knows juu bado n_z_zika
كلمات أغنية عشوائية
- farewell milwaukee - morning stars كلمات أغنية
- bedoes - michelangelo كلمات أغنية
- watch them die - born to suffer كلمات أغنية
- la blanche - la balançoire كلمات أغنية
- keblack - beau parleur كلمات أغنية
- nizioł - bhp كلمات أغنية
- vacío - 8 كلمات أغنية
- axxion - ride of the chariots كلمات أغنية
- kweller - caos (part. solanno) كلمات أغنية
- runaway city - more than this كلمات أغنية