kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

malika - wape wape كلمات الأغنية

Loading...

mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
musichoke midomoni muyasemo sijali
mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
musichoke midomoni muyasemo sijali
nikonayo mikononi daima tuko wawili

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
mtaudhika nyoyoni kheri muwenasimbali
mtuyatakao wendani hayotakuwa asili
tupamoja maishanitumeshikana kikweli

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

jamani wivu mwaona mi silali pekee yangu
mumezidi kusonona mumuudhika wenzangu
raha ninazoziona anipa mpezi w-ngu

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

hata mkafanya nini nimuhali kuthana
usiingie mbioni hatushiki fitina
hata mkafanya nini nimuhali kuthana
usiingie mbioni hatushiki fitina
tupamoja maishani daima tunapendana

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
musichoke midomoni muyasemo sijali
mufanyao mufanyeni hayanitii shughuli
musichoke midomoni muyasemo sijali
nikonayo mikononi daima tuko wawili

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
mtachoka kututhimba kutupa hatuwezi
mkazishe zenu kamba haiwi kwetu ni kazi
mimi ni mwana wa mjomba yeye ni mwana wa shangazi

jamaa… wape wape vidonge vyao
wakimeza wakitema nishauriyao

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...