
magix enga - niamini كلمات أغنية
ninachoomba ni uniamini tu
muda umepita nitakuja tu
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
my baby girl you know
ukiwa mbali mi naumia you know
kwa kila ndoto nakuona uko ndani
nakutamani tena mami niko mbali
i wish you know vile nahisi kama sijakuona
mapenzi ugonjwa lini nitapona
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
napitia mapicha zangu na wewe
nawish hadi ningeondoka na wewe
sijatafuta siwezi pata kama wewe
michezo funny natamani tu na wewe
i wish ningeondoka tu wewe
amini nikisema ni wewe
sijatafuta siwezi pata kama wewe
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
ninacho omba ni uniamini tu
muda umepita but am coming home
hata kama unipe mwaka (nipe mwaka)
nilichokisema nitasawazisha
كلمات أغنية عشوائية
- vybz kartel - dweet we a dweet (do it) كلمات أغنية
- shohreh - ayeneh كلمات أغنية
- pet shop boys - somebody else's business (extended mix) كلمات أغنية
- hélène ségara - dis-moi كلمات أغنية
- iwan rheon - courthouse كلمات أغنية
- little bomb - amorous soul كلمات أغنية
- alkilados - chillax كلمات أغنية
- tha god fahim - saga city كلمات أغنية
- beny - interview كلمات أغنية
- alex chilton - b-a-b-y كلمات أغنية