magix enga - chachisha كلمات الأغنية
this how we party in a holiday
ni kila siku kuchachisha yeah
(ni kila siku kuchachisha)
this how we party in a holiday
kabla wakati hujaisha yeah
(kabla wakati hujaisha)
huskii nitakula merry christm-ss
na mkuje sherehe
na msikose pia kuja na g-bag
tutapiga sherehe
unakuja umepiga ma slippers
umealikwa sherehe
ukipata mchele pia imeisha
unaweza sema tuekelee
si ni kawaida ndani ya party utapatanao
wamedunga vitu fupi na zimewabana
cheki macho nyanya vile nimechoma
na hadharani sitambuangi ma informer
this how we party in a holiday
ni kila siku kuchachisha yeah
(ni kila siku kuchachisha)
this how we party in a holiday
kabla wakati hujaisha yeah
(kabla wakati hujaisha)
cheki mi usiniite kwenyu bash
na hamna budget ya magode
si ni poa na cash
hata kama joh si zote
ngori ni sikia ati wa(wa)
ati heri njooni nyote
na kama we ni wa kwa(kwa)
we ni wa w-ngu saa zote
ukijifanya kuku sana wengi
wengi wanakuchemshia maji
ku ku kuku manga
hutumiwa na watu hawaraush-gi
sikiza vile naikula, naikula
hadi wengine hawalali
naifanya inakuwa tamu
hadi maneiba wanaidai
si ni kawaida ndani ya party utapatanao
wamedunga vitu fupi na zimewabana
cheki macho nyanya vile nimechoma
na hadharani sitambuangi ma informer
this how we party in a holiday
ni kila siku kuchachisha yeah
(ni kila siku kuchachisha)
this how we party in a holiday
kabla wakati hujaisha yeah
(kabla wakati hujaisha)
cheki si mnajua ni gitah dem ya peter
ali-divorce na peter ati juu najua guitar
na kameiva nakaitanga senorita
kwa siku nisipomuona mi huskia nimekatsika
ka nilikuwa handes manze ju yake haziezishika
nikukatema kwanza nipite marema
nicheki form kaa naweza angukia ki shh ssh
nijenge apet-te ya kudema
ni avoid kuhema juu ka
unaweza ni heri ungesema
unaweza kuwa meza
ubaki umepanguzwa
na hadharani sitambuangi ma informer
this how we party in a holiday
ni kila siku kuchachisha yeah
(ni kila siku kuchachisha)
this how we party in a holiday
kabla wakati hujaisha yeah
(kabla wakati hujaisha)
huskii nitakula merry christm-ss
na mkuje sherehe
na msikose pia kuja na g-bag
tutapiga sherehe
unakuja umepiga ma slippers
umealikwa sherehe
ukipata mchele pia imeisha
unaweza sema tuekelee
the way you give me good feeling (my ooh my)
talking about this a real thing (ju yako naweza fly)
the way you give me, am addicted
the way you give me a good feeling (my ooh my)
talking about this a real thing (ju yako naweza fly)
the way you give me, am addicted (si iko sukari juu sana)
the way you give me, am addicted (si uko na sukari kwa sana)
كلمات أغنية عشوائية
- miguel bosé - decir adios كلمات الأغنية
- zazie - le dimanche كلمات الأغنية
- binod punk - listen to your heart ♥ كلمات الأغنية
- fudex - ca$h man كلمات الأغنية
- lil nii - hustle كلمات الأغنية
- dherj, shadow - mala freestyle كلمات الأغنية
- hwoarang (spain) - fake gucci كلمات الأغنية
- tim o'brien - don't be surprised كلمات الأغنية
- steve winwood - wake me up on judgment day كلمات الأغنية
- sanguis et cinis - schicksalswölfe كلمات الأغنية