maestro dekula (dekula band) - agnes كلمات الأغنية
[chorus 1]:
nasikia umekwama
tatizo la usafiri
tena uko kisiwani
umezunguukwa na bahari
nitakutumia ndege
ije ikuokoe
ndege hiyo agnes
ni kenya airways
[vers 1]
ningeli kutumia meli lakini kama ujuavyo
kuna dhoruba kubwa baharini (yo, yo, yo)
chombo hicho kita chelewa kufika
matatizo na mengineyo
imenifanya niogope
kwakuwa agnes sitaki usafiri wamashaka (yoyoyo ah yoyoyo)
[chorus 1]:
nasikia umekwama
tatizo la usafiri
tena uko kisiwani
umezunguukwa na bahari
nitakutumia ndege
ije ikuokoe
ndege hiyo agnes
ni kenya airways
[chorus 2]:
usikate tamaa tutaonana
hapa nilipo ingawa ni mbali
bado nakuwaza, bado nakuota
panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
[vers 2]
oh mwana mama, kipenzi changu
ulaya niliko ni ulaya ya maneno
baridi yanipiga bila huruma
panda ndege uje, kipenzi changu
ewe kipenzi changu njoo
[chorus 2]:
usikate tamaa tutaonana
hapa nilipo ingawa ni mbali
bado nakuwaza, bado nakuota
panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
[vers 3]
mambo ya ulaya ,ni kyamukanda
matope ni nyeupe, ukija utaona
gari za moshi, chini ya udongo
air tanzania, flying my baby
ewe kipenzi changu njoo
[chorus 2]:
usikate tamaa tutaonana
hapa nilipo ingawa ni mbali
bado nakuwaza, bado nakuota
panda ndege uje ewe, kipenzi changu mamy
[outro]
(bobo) yo mwasi kitoko bonzenga
(bobo) ozalaka lofundu mingi mama
(bobo) i love you
(bobo) moi je t’aime, moi je t’aime bobo
(bobo) nakupenda we nakupenda
(bobo) jag älskar dig jag älskar dig
(bobo) i love you
(bobo) na tina nini na tina nini
كلمات أغنية عشوائية
- pacifika - libertad [*] by كلمات الأغنية
- mwila musefwe - i'm single كلمات الأغنية
- pignoise - por que كلمات الأغنية
- kerrs pink - mystic dream كلمات الأغنية
- b-ly & willfake - classic freak كلمات الأغنية
- basshunter - angel in the night (headhunters remix) كلمات الأغنية
- trey songz - used to (11.28) كلمات الأغنية
- avain - elämä on tentti كلمات الأغنية
- kanda kodža i nebojša - every nation (sunset mix) كلمات الأغنية
- producer squishy squishy - revenge كلمات الأغنية