
mad ice - malaika كلمات أغنية
(intro)
uuwo uweeee… uwoo mama.
sema malaika… heya… nakupenda wee.
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika
(verse 1)
nami nifanyeje
kijana mwenzio x 2
furaha moyoni napo kutia machoni
si utani angel kwako niko hoi x 2
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 2)
kidege kukuwaza wee kidege
ohoo kidege kukuwaza wee kidege
usiku silali mawazo mengi darlin’
nawaza ningekua na hiyo mimali
nikakulipia mali nikawa nawe mwali
nadhani mambo mengi kw-ngu yange kua swari
nashindwa na mali mi sina wee
ningekuoa malaika x 2
(chorus)
malaika nakupenda malaika
malaika nakupenda malaika x 2
(verse 3)
pesa pesa zasumbua roho yangu
mi nasema pesa pesa…
zasumbua roho yangu
uzuri wako malaika
unanifanya nipagawe malaika
kila napokuona malaika…
nabaka nahangaika malaika wewe
ohoo owuooh
malaika… eeh nakupenda malaika
malaika… ooh nakupenda malaika wewe
malaika… heya nakupenda nakupenda wewe
malaika… nakupenda malaika
nakupenda wewe
nakupenda wewe
nakupenda wewe… til fade.
كلمات أغنية عشوائية
- bonfire - bells of freedom كلمات أغنية
- boris - buzz-in كلمات أغنية
- boy kill boy - pen 'n ink كلمات أغنية
- bosshoss - quick joey small كلمات أغنية
- point of recognition - the admiration of a son كلمات أغنية
- boom boom kid - my smiling fragile heart كلمات أغنية
- bonzo dog band - look at me i'm wonderful كلمات أغنية
- books - you'll never be alone كلمات أغنية
- bonfire - l.a. كلمات أغنية
- boris - beautiful day كلمات أغنية