kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mabantu - umekopwa lyrics

Loading...

si wanapenda kubang

eti watu hivi mjini na nyota zao, ya kwako ishafifia
sasa unadangia nini? umekesha kimboka hujarudi hata na mia
shoga kichwa cha panzi, bia moja umezima umetupwa kisavia, aiya
alafu kesho unavimba unatamba, na wigi umegongea wewe

k_mbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
na mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa)
ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
na jike shupa

unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa
(unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa)
unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?
(unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?)

kwani shoga umalaya umechanjia
maana bingwa kutaka fazambia we
ulipopanga hata chumba hujalipia
lile danga limekukimbia ona
majanga umerudi huku unalia
ndo maana umekopwa

dada nipe sitokuwacha walai
bomba bomba haikatopsi haikatai
na ukinipa sherehe, mama mchumba na sherehe
swafi haina kwelele, ukucha umеpata upele
ukitaka mbelе kalia, ukitaka nyuma utalia
bi shosti si uliyataka mwenyewe, ulisema na kibamia (aii mama)

mpaka kifo kia pocha shela na tai
leo nikopeshe niko mbaya haifai
baby washa haifai, maana mbili haikai
wala tatu haikai, sitasimama masai
baby niwai ntakufa mwenzako ushakula vitu
alafu bao langu la ushindi halivutiki kwa tissue

k_mbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
na mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa)
ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
na jike shupa

unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa
(unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa)
unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?
(unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?)

(haaa) kane kane, si wanapenda kubang
pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
ganda mbili, ganga tatu
pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
ganda mbili, ganga tatu

nawaita wanangu wee (hee), eeh bajita (hee)
nawaita wanangu wee (hee), bajita, (hee)
basi twende nionyeshe kiuno, cha fally ipupa
masela kiuno cha fally ipupa
we jombi nionyeshe kiuno, cha fally ipupa hiko
nionyeshe kiuno, cha fally ipupa

obey nionyeshe kiuno, cha fally ipupa
montana nionyeshe kiuno, cha fally ipupa
wanangu bado mdogo lakini anapenda chura
mashalove bado mdogo lakini anapenda chura
wanjala bado mdogo lakini anapenda chura
yule dada bado mdogo lakini ana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...