kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

luqman atigh - kapambwa كلمات الأغنية

Loading...

kapambwa kimaajabu
mtume wetu
habibu

mbora wa ustaarabu
kipenzi chetu
twabibu

kapambwa kapambwa, kimaajabu
mtume wetu
habibu

mbora wa ustaarabu
kipenzi chetu
twabibu

mfano wa kila kitu
uufuate
kwake nabia

kwa raha au
kwa tabu
yote ameyapitia

mfano wa kila kitu
uufuate
kwake nabia

kwa raha au
kwa tabu
yote ameyapitia

yote ameyapitia
na pia akasubiria
mtume wetu nabia

yote ameyapitia
na pia akasubiria
mtume wetu nabia

mwenginewe usitafute
zaidi yake nabia

sunna zake tuzifate
ili tuje fanikiwa

tujipambe kwa sifa zake
ndio amri ya jalia
ndio amri ya jalia

tujipambe kwa sifa zake
ndio amri ya jalia
ndio amri ya jalia

tujipambe kwa sifa zake
ndio amri ya jalia

mtume wetu twajivunia

kapambwa kimaajabu
mtume wetu
habibu

mbora wa ustaarabu
kipenzi chetu
twabibu

kapambwa kapambwa, kimaajabu
mtume wetu
habibu

mbora wa ustaarabu
kipenzi chetu
twabibu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...