lugo master - log in كلمات الأغنية
log in
verse i;
muda nashika wereva naingiza pini
baada ya password nataka ni log in
lengo sio kuchek insta warembo wa mjin
mana wengi booty fake kope utadhan wana undugu na jin
achana na king bila queen
achana na kuuficha umaskini
bando ni muhimu zaid ya kula hapa mjini
walai staki kuamin
kuna msanii hana dini
bora jela so tiktok kunkuta mimi
kuna viclip vya kishozi
huko wana wanamapozi
utasema wamepewa dozi
mana wana pozi n za kichokozi
mtoto mkali af booty ni robo
anakuona shabiki
ukimfata inbobo
acha mbwembwe kibamia nimiliki dodo
au unapenda wala chips af wala modo
chorus;
emu fanya ku log in
mana story nyingi umu ndani we log in
aaah bora ungelog in
story mingi sana unachelewa log in
emu fanya log
ukisimuliwa hainog we log
verse ii;
kuna watoto insta ni taa
huna kiti utakaaa
pozi nyingi kistaa
nyumban mbagala
unaeza jikosha
mana mitandao inachosha
kuna iphone nyingi ka ngombe kwa house yaa ngosha
kuna kakitu flan
kuhusu watu flan
ukikaaa ukaskiliza utajua
muongeaji ni nani
mana wengine wanatenda tunaona wengine ni fun
naskia boss wao baada ya gambe alianguka chini
ustake jua uku wote wametoboa
na wote wako single hakuna ambae ameoa
wamеshamake bingo
hakuna jitia doa
na kuna rapper bingwa pekee anamiliki noar
كلمات أغنية عشوائية
- inanimate existence - the discarnate self paradox كلمات الأغنية
- juno (fi) - talviunta كلمات الأغنية
- askil holm - where the angels sleep - live at oslo spektrum كلمات الأغنية
- sr. zambrana - del vallés a tu equipo كلمات الأغنية
- deen burbigo - âge d'or كلمات الأغنية
- lido - no lights left كلمات الأغنية
- the lacs - nothing in particular (remix) كلمات الأغنية
- time-check - mirror (reflection) كلمات الأغنية
- extremoduro - v centenario كلمات الأغنية
- buka - dekada كلمات الأغنية