lowki the great - vile inafaa كلمات الأغنية
ah ah ah
ey ey ey
lowki
vile naifanya ni true
quality bado iko juu
vile naifanya ni true
hakuna kitu inaweza fanya ni lose
mi i got nothing to prove najua watatii when i am finally through
quality bado iko juu najua mi ni mfire but i am keeping it cool
fame ama pesa vile itacome
nitabaki kutesa joh vile inafaa

mahali nimetoka ni mbali i swear
sahii penye niko huwezi compare
the good life ndio natry kujipea
nyi mnabonga mimi niliacha kucare
story mingi niliachia insta
kama hunisaidii nakupatia distance
nagive thanks juu ya kismart
niko gifted na si christmas
si lazima niseme i am one of a kind
top ten mi ni one over nine
hakuna cha bure ndio maana na grind
nangoja turn yangu ni ka niko kwa line
place niko kuna gravity
mi ni star so na need sp_ce
flow deeper than a cavity
mtaishi kuk_mbuka this face
vile naifanya ni true
hakuna kitu inaweza fanya ni lose
mi i got nothing to prove najua watatii when i am finally through
quality bado iko juu najua mi ni mfire but i am keeping it cool
fame ama pesa vile itacome
nitabaki kutesa joh vile inafaa
vile naifanya ni true
hakuna kitu inaweza fanya ni lose
mi i got nothing to prove najua watatii when i am finally through
quality bado iko juu najua mi ni mfire but i am keeping it cool
fame ama pesa vile itacome
nitabaki kutesa joh vile inafaa
nina more verses than a scripture
getting more paper than a printer
we baki ku hate
mi siku hizi naget madame unacheki kwa picha
hii ni moto wameshindwa kuzima
wako in shock juu lowki ni steamer
ego ni bigi ikifuatwa na jina
i am the greatest ni nani anapinga
resurection ya pac na biggie
inspiration ya call na dreezy
kama ni ganji we call i′m picking
kama unangoja ni fall you’re tripping
na ukicheki nasonga ka movie star
ndoto valid kushinda za lupita
ma rapper itabidi wamerudi class
serikali imechange hii ni kudeter
usiworry ile life nalive
utajichanganya we mind your biz
siku hizi na_dine na kings
kuwakunywa better hide your siz
naifanya joh vile nyi mnadesire
game si itadedi mi nikiretire
hamuwezi admit but nawainspire
stakes ziko juu n_z_pandisha higher
hii sh_t inacome na condition
watakujudge utadhani ni audition
usifumble we baki kwa mission
haitaki pressure inataka ambition
wengine wanaifanya for likes
rap ni career mi ntaifanya for life
kuniweza itabidi mucombine
wanajiona sana but still wako blind
vile naifanya ni true
hakuna kitu inaweza fanya ni lose
mi i got nothing to prove najua watatii when i am finally through
quality bado iko juu najua mi ni mfire but i am keeping it cool
fame ama pesa vile itacome
nitabaki kutesa joh vile inafaa
vile naifanya ni true
hakuna kitu inaweza fanya ni lose
mi i got nothing to prove najua watatii when i am finally through
quality bado iko juu najua mi ni mfire but i am keeping it cool
fame ama pesa vile itacome
nitabaki kutesa joh vile inafaa
vile naifanya ni true
quality bado iko juu
كلمات أغنية عشوائية
- king om - dharma freestyle كلمات الأغنية
- bully - blame كلمات الأغنية
- chxji - trilla remix كلمات الأغنية
- cisneros - my way كلمات الأغنية
- bresh - ande كلمات الأغنية
- mtk feat. meucci, tasdan & agatha - pode me esperar كلمات الأغنية
- coucheron - loud كلمات الأغنية
- stephen sondheim - talent كلمات الأغنية
- anatom - talitha kum كلمات الأغنية
- locksmith - go there كلمات الأغنية