longnus - yes bana remix كلمات الأغنية
intro(kahligraph x longnus)
eyoo! motif turn me up headphones bro!
what’s up
check!
i guess i’m go’in
verse
nikapata taarifa kwa insta
yes bana challenge inaita
ukifanya vizuri hii chapter
khali carter 4 unaweza ukapita
huddah migomo ya nini, kwa nini usishike simu ya khali
anawife amemarry kabisa, so ujinga ni call ya deal
mabuddah ni watu makini,(neezy) hatuwazi miti na kiki i’m sorry
life imetuchosha kabisa, tunagonga wakitaka mazishi ni ngori
ha haaaa!
nishapewa nafasi, ni kuk!ll ka verse sijawahi fanya for funny huifanya for mass
so lazy ka mars, hawa rappa kamasi nawatoa nakutupa wamekosa nafasi
walishabana interviews, wakidhani wao viewers walidhani nitabag sheria zao zakuforce
i’m talented g_nius, ninagonga downloads wataka collabo nami nikupe maviwers
tunaweza rap pamoja, kabiti kamoja lakini lazima nikuzime
siwezi kurap kwa uwoga, ka naflow moja ko usicome ukoless unipime
nacheza na rap pamoja, ka ni mnako na soldier ka ni maji kwa unga usipime, (let’s go)
case za k_mada nataka, koz cjuw kungoja mi ni ndo guy wa rap nijitume
aay! huncho tiempo, calm_rs_
negro sino me ausent_rs_
ahora soy más fuerte
que voy a darte
neezy!
chorus
yes bana
mi ndo yule rappa hatari
yes bana
hapa nawapasha habari
yes bana
inabidi collabo na khali,
yes bana
kisha tufanye na fally
yes bana
saa hii nawapasha habari
yes bana
nataka nitoe mahari
yes bana
mwaka huu lazima nimarry
yes bana
wife mtajua msiworry
كلمات أغنية عشوائية
- camilo - bebé (part. el alfa) كلمات الأغنية
- flvme (sa) - jus' an intro كلمات الأغنية
- balanceo - con lo bien que lo pasamos كلمات الأغنية
- akapellah - interludio كلمات الأغنية
- campos - cane كلمات الأغنية
- poetics - halo كلمات الأغنية
- build-a-bear - magic bear world كلمات الأغنية
- nacho & greeicy - contigo كلمات الأغنية
- grizzly (kor) - fake smile كلمات الأغنية
- volbeat - for evigt (live) كلمات الأغنية