localmodel93 - dingi كلمات الأغنية
ukitaka kuwa dingi,
lazima uishi kama mimi
uvunje makundi ya kipimbii
ishi kama dingi,
usiwaze magari
waza mali,
natamani nirudie fani
niandike kama zamani
ila haiwezekani wife ukishamuweka ndani
nasema hiwezekani
dingi kuwa mtumwa wa shetani
haiwezekani dingi kuwa na mamanzi wa pembeni
haitakikani dingi kudakwa ugoni
dingi unaanza k-msoma usoni
dingi unaanza k-muona nguoni
dingi hawezi vaa hereni maskionii
dingi mara nyingi huwezi k-mkuta jikoni
maaa …. dingi hatumwi sokonii..
dingii .. -3 anachonga mambo ya msingi
dingi sio lazima kuwa na watoto shule ya msingii
dingi huwa apendi sanaa kulamba chumvi, wazee wa chumvini hamuwezi kuwa madingiii
babaa heaven,niite babaa dominaa
dingi lazima umpe wife heshima
dingi sio kima, sometimes anakupima
dingi lazima uwe na hekima
vinginevyo watoto watakusunyaa
sharaout kwa mwanangu king’onde sunyaa
dingi ndio anajua kuzaa sio kunyaa
dingi mtoto akizaliwa lazima umpe jina
umfunze kujitumaa, dingi ndio anamjengea mwanae heshimaa
dingi sio kodingoo, hapigi gongo
anachapa fimboo, dingi anacheza kwaya sio bolingo
dingi anaweza kutoa chongo, kama unaakili za pongo, dingi kama kadinali pengo, sometimes dingi anatoa pepo
anakemea watoto , pamoja na kuwalea kwa upendoo, dingi huwa na matumaini makubwa yakuiona pepo, anapambana kwa bidii kuitengeneza kesho
___your__author__
lekule_rongai___
(localmodel93
كلمات أغنية عشوائية
- serial killers - ask about me كلمات الأغنية
- sorriso maroto - vai acabar sem ninguém كلمات الأغنية
- brendan foery - dear depression كلمات الأغنية
- orchestral manoeuvres in the dark - what have we done (single mix) كلمات الأغنية
- war party (rock) - hang on to the feeling كلمات الأغنية
- cgc boyz - dlir كلمات الأغنية
- elyse shackleton - more كلمات الأغنية
- rock star supernova - can't bring myself to light this fuse كلمات الأغنية
- ross - shokt e mi كلمات الأغنية
- yungshrugga - bribe كلمات الأغنية