
lizone ntio - sawa كلمات أغنية
vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j_po moyo uliumia, moyo w_ngu uliumia
nikajikokota niketi masikini wakuchiti, huku bujibuji najivujia, machozi najivujia
huku ndani ndani moyo unalia
zile k_mbuk_mbu nawe, zikawa zanisuta nijiue
kweli haunijali wewe, unampenda mwengine nijishaue aah nijishaue
mara nikak_mbuka ndoto, tulikua na ndoto
minawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak_mbuka ndoto, tulikua na ndoto
mi nawe tupate watoto, wakwanza ndio cynto
j_po haitatimia
ni sawa (hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w_ngu)
ni sawa (hata uliumia)
ooh ni sawa (hata usipopenda)
ni sawa (moyo w_ngu)
ni sawa (aah jamani)
ni sawa (hata usipopona)
ni sawa
maumivu ya moyo w_ngu, sawa kuchomwa kisu cha moto
nikiitazama simu yangu, umempost caption wandoto
mwenzako bado najitazama, kisha namtazama, najiuliza nakosa nini, mpaka wewe hunithamini
ama kwake ndio salama, kw_ngu hakuna cha mana, hata kitanda changu chini, ndio mana hunithamini
mara nikak_mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak_mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
j_po ndoto haitatimia
ni sawa(hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w_ngu)
ni sawa (j_po umeuvunja moyo w_ngu)
ni sawa (sidhani tena nitapenda)
ni sawa (maumivu ya moyo w_ngu)
ooh ni sawa (oooh)
ni sawa
aah ni sawa
(vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j_po moyo uliumia, moyo w_ngu uliumia)
thunder music open world
كلمات أغنية عشوائية
- lil he77 - dior jeans كلمات أغنية
- andres acosta - se acabo كلمات أغنية
- alrima - cavalier كلمات أغنية
- berkes olivér - világítótorony كلمات أغنية
- fredosuxx - tor كلمات أغنية
- pet friendly - once once (¿por qué no somos all time low?) كلمات أغنية
- rival waves - hollow كلمات أغنية
- rucorap - banquete كلمات أغنية
- calledout music - grace كلمات أغنية
- wac toja n matheo - trinidad scorpion كلمات أغنية