
lilpyynx - mbcity كلمات أغنية
[intro]
pyynx hii ni very bad!
(mbcity tumefika market…)
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna_ball na ma_grades tuko perfect
kuna success una_fill in the brackets
in the end tuna_end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una_chop unaichapa kazi
una_joke una_joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna_ball na ma_grades tuko perfect
kuna success una_fill in the brackets
in the end tuna_end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una_chop unaichapa kazi
una_joke una_joke unageuka mrazi
[verse 1]
“una_fail una_bury the hatchet,” si huwa hatu_fail tunapeana chances
you talk when wе say nyi ni puppets bonga vibaya ujipate na crutches
, high school sijai ona harrasment
high school hakuna red carpet sote ni equal hakuna mtu perfect
[verse 2]
zabe ya rincy makapa hunyesha school renovation alileta
ye hukuwa best friends na m_pesa so educated ye hutupa lectures
we ni rincy one of a kind as you live on your life we jua tunakupenda
[verse 3]
kwach, jaduor, okoth, ye ndio mastermind wa masomo
kukuwa number one all kenya si mchezo ni ka alitushindia lotto
harry g aka_come kueneza, m. b. r. m. b. t. kuendeleza
k. c. s. e. kupita sio pressure 9.5 kufika sio pressure
[chorus]
mbcity tumefika market
tuna_ball na ma_grades tuko perfect
kuna success una_fill in the brackets
in the end tuna_end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una_chop unaichapa kazi
una_joke una_joke unageuka mrazi
mbcity tumefika market
tuna_ball na ma_grades tuko perfect
kuna success una_fill in the brackets
in the end tuna_end up being happy
unasleki napita no mercy
si ni wakali kuliko makasi
unasoma una_chop unaichapa kazi
una_joke una_joke unageuka mrazi (unageuka mrazi!)
[outro]
pyynx hii ni very bad!
كلمات أغنية عشوائية
- asiahn - broken heart كلمات أغنية
- dial m. - brave way كلمات أغنية
- clews (au) - lean across كلمات أغنية
- chris pureka - the longest year كلمات أغنية
- elli moore - petty كلمات أغنية
- yasmin asistido - dilim كلمات أغنية
- rachel grae - how to be alone كلمات أغنية
- 5pm to nowhere - acceptance كلمات أغنية
- trinity (parasite) - knock knock** كلمات أغنية
- k.a.a.n. - show them كلمات أغنية