
lilpyynx - chizi كلمات أغنية
[intro]
pyynx hii ni very bad!
[verse 1]
majina pyynx pyynx pyynx number eight southside, ni ule producer na editor flani
rada gani nimeamua kutokea before nime_legalize na ma_brejin hadharani
kuja na ndai hata kama ni car_for_hire bora hiyo whip ni deadly tuchokoze majirani
m_pesa balance inanitolea machozi, unaomba za cabbage like buda we ni m_funny
[verse 2]
high school kuna watu wanaboo wana_boast venye funkey wanahanya manzi most
hiyo pang’ang’a buda joh itaku_cost aliomba chain topa akadunga ma_lacosté
ikafika d_day akarambwa akapangwa shiko form one alimpima hadi number
“manze hiyo funkey nimejibamba,” after two weeks ali_transfer akaenda chuo flani naivasha
[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi
na, nanana nanana, nanana nanana
utajipoteza nanii utachotwa money
come hizi sides utajua tumechizi
[verse 3]
feelings zako personal, jiekee, ku_change personalities kama ben 10
riba ni machete shing_shang zinakata ati ulitoa kapa chwani ka sadaka?
site ya job mna_act very bad mkubwa anapigana kalamu amegeuka author
mi simati mi si_care mi sitii ma_hater kila mahali wanadhani nitachoka
[verse 4]
king bizzy nadai unisakie bibi nimekuwa too single ni ka nina_date mimi
dem ako fiti lakini akili iko pending akivaa baggy utadhani ye ni peng_ting, really
na ni kienyeji niliuliza “what’s your poison?” akajibu “ya mende kwanza ukieka kwa viti.”
hapo nika_patch patch patch in a minute, venye nilitoka buda huezi amini
[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi
na, nanana nanana, nanana nanana
legeza legeza my friend utatokwa utatii
come hizi sides utajua tumechizi
[verse 5]
ndio kutoka mall kama heavy window shopper mboto nimepiga mingi ka matanga za ocha
u. s. i. u. ni ma_bentley daily na mi sai ndio na_work hard nipate pa ku_dose na
nitazoza nitoke block na helicopter na ikishika sana natoka na mama mboga
mtakipatapata mki_bother crime rates zimeshuka hadi ndeng’a zinauzwa na offer
[verse 6]
avoid vako za fei na shiro unanyongwa daily bread ndio umshikie chipo
na hiyo kiburi arif aliseswa alibonga shonde akapokea salamu chekwa chekwa
prezo is the head of this state, lakini anajua kama he’s the head of our current state?
useless ka set_square za set, ego too high siku hizi mi siambiwi sh_t
[chorus]
la, lalala lalala, lalala lalala
ukileta ujinga kwa base utatoka sai
come hizi sides utajua tumechizi
na, nanana nanana, nanana nanana
masaa ninadunga ma_j’s unadunga toughees
come hizi sides utajua tumechizi
كلمات أغنية عشوائية
- buonocore nino - e non dire كلمات أغنية
- buonocore nino - i treni d'agosto كلمات أغنية
- buonocore nino - il mandorlo كلمات أغنية
- buonocore nino - sabato triste كلمات أغنية
- buonocore nino - tra le cose che ho كلمات أغنية
- burak kut - aman كلمات أغنية
- burak kut - bebegim bebegim كلمات أغنية
- burak kut - benimle oynama كلمات أغنية
- burak kut - cilginim كلمات أغنية
- burak kut - duman ustu كلمات أغنية