
lilmaina - cocoa butter lyrics

[intro: lilmaina]
huh huh, stunna, stunna uh
skia skia uh
[chorus: lilmaina}
na niko ndani ya bukla
nikimedi na mashasha
jaribu ujinga ni mabare utapata
viatu tumepiga ni maclarks za kwa bata
warembo wote wananukia cocoa b_tter
basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
rusha mikono kama maisha iko fiti
rusha mikono kuja basi twende hivi
sijalala siku tano naona kama nitachizi
[verse 1: danski]
ata nikikosa leo nitakupata
kama kuna ngori itakua disaster
siku mingi jo baby nimekudata
wacha kusita sita baby kam hapa
kama unanifeel (feel)
wachana na mi (mi)
i’m honestly just a humble rapper
ye hukuwa anatii, maina ni nabii
niliwashow hii ngoma itaw_ngwata
[chorus: lilmaina]
na niko ndani ya bukla
nikimedi na mashasha
jaribu ujinga ni mabare utapata
viatu tumepiga ni maclarks za kwa bata
warembo wote wananukia cocoa b_tter
basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
rusha mikono kama maisha iko fiti
rusha mikono kuja basi twende hivi
sijalala siku tano naona kama nitachizi
[verse 2: lilmaina]
excuse me i mean empress samahami
we ni safaricom juu ya venye haupatikani
na macho yako nzuri unafanya natamani
rafiki zangu wanashindwa rada gani
nipate currency zingine villa rosa
na kila napo_enda utafuatwa na masoja
kichwa inauma basi meza sona moja
na venye unanitesa akili bado nitangoja
[bridge: danski]
nimefunga dready manze hunitaki
na kama ni makosa basi we utanishtaki
ningetaka twende shanzu au diani
na unataka lightskin kwani mi ni mlami?
[chorus: lilmaina]
na niko ndani ya bukla
nikimedi na mashasha
jaribu ujinga ni mabare utapata
viatu tumepiga ni maclarks za kwa bata
warembo wote wananukia cocoa b_tter
basi rusha mikono ka unaona uko tipsy
rusha mikono kama maisha iko fiti
rusha mikono kuja basi twende hivi
sijalala siku tano naona kama nitachizi
[outro: lilmaina]
yeah, da da danski
maina uh, stunna uh
stunna uh
patikani, rada gani
cocoa b_tter
كلمات أغنية عشوائية
- maría josé - un nuevo amor lyrics
- kristoff krane - one man show lyrics
- d-reamy - collide lyrics
- gdubs - atlanta lyrics
- pimpinela - estamos todos locos lyrics
- greengo - папа минский lyrics
- peter j. seifert - twenty years young lyrics
- la sera - losing to the dark lyrics
- jay sino - 9 piece lyrics
- johnny hallyday - ça n'finira jamais lyrics