kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lilmaina - alert كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
ah
maisha ya—
ah, ah, cheki

[hook]
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast

[verse 1]
so ni 1, nimekuja home nijiondoe very fast
nikingojwa na ile uber yenye hucheza “last last”
nafaa kuenda church but sidhani mi ntakam
juu manze vеnye k_meshika hadi ukipiga ni revеrse
ngoja, hold up, kuna mali imekam
kando kav subaru na najua ati imejaa
uko wapi? nko kwa jam, si unajua what a—, what a—, what a—, ah

[hook]
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast
[verse 2]
yeah, hii beat ni kali na ni choppy
nikitokea bash najifanya sijasosi
alafu kwenye niko wanadai ati hawatoki
jaribu mtu mmoja utalala na masoki
dondi ukipata nimefura usitry kubisha hodi
usiulize nikindasu ju wapoa hatuoni
ni macho imefura usichoche ati huoni
venye zinanionyesha ni ati nganya kwa ploti

[hook]
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast
ni at ease, alert, at ease alert
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast

[outro]
at ease alert, at ease alert na—
haka kajaba kanadai nikuwe alert
form ikijipa najitoa very fast
ni at ease, alert ah

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...