leyla rashid - langu rohoni كلمات الأغنية
hii ndio dunia dunia rangi rangiree
na watu kwenye dunia aso hili ana lile
hii ndio dunia dunia rangi rangiree
na watu kwenye dunia aso hili ana lile
mdomoni silitoi jamani langu rohoni
na nyamaza sikosei namuachia mananii
sipendi kusema naogopa lawama
walimwengu nawajuaaa
j_po yatauma mambo yawanadama
bora kuwapotezeaaa
sipendi kusema naogopa lawama
walimwengu nawajuaaa
j_po yatauma mambo yawanadama
bora kuwapotezeaaa
walivyo ni andama j_po roho yaniuma
lakini nina tuliaaa
walivyo ni andama j_po roho yaniuma
lakini nina tuliaaa
sikuzoea kusema kubishana
na wanadaaama sijuti nasito jutia
sikuzoea kusema kubishana
na wanadaaama sijuti nasita jutia
wenye maneno huwa namuangalia
wala ubaya sijengi wote nampotezea
wenye maneno huwa namuangalia
wala ubaya sijengi wote nampotezea
mwenye maneno huwa namuangalia
wala ubaya sijengi wote nampotezea
najua hii ndio dunia dunia rangi rangiree
na watu kwеnye dunia aso hili ana lile
najua hii ndio dunia dunia rangi rangiree
na watu kwenyе dunia aso hili ana lile
lolote lile watakutafutia
ili upate upige kelelee
mie mdomo sitaufunua
ndio kawaida yangu milele
lolote lile watakutafutia
ili upate upige kelelee
mie mdomo sitaufunua
ndio kawaida yangu milele
wajinga wajinga nawapotezeaaaaa
katu hawanipigishi keleleeee
binadamu ndio wamezoea
kuyazusha hili nalileee
wajinga wajinga nawapotezeaaaaa
katu hawanipigishi keleleeee
binadamu ndio wamezoea
kuyazusha hili nalileee
bora yakae rohoni nifanye hamsini zangu
nisijikondoeshee bureeeh
malipo ni kwa manani kwa yote ya walimwengu
msijitee kihereeee
bora yakae rohoni nifanye hamsini zangu
nisijikondoeshee bureeeh
malipo ni kwa manani kwa yote ya walimwengu
msijitee kihereeee
yangu langu mimi rohonii
sili silitoi mdomonii
langu langu mimi rohonii
sili silitoi mdomonii
sio kama siwezi kusema naweza mpaka kukeshaa
n_z_epuka lawama zingine zinakondeshaa
sio kama siwezi kusema naweza mpaka kukeshaa
n_z_epuka lawama zingine zinakondeshaa
watao cheka namie nami nitacheka nae
mwenye hasama na mie nitakaa mbali nae
ugomvi siwezi mie bora ni mpotezeeee
hahahahaah haiiyaaa
kuka kimya ni jibu la mjingaa
كلمات أغنية عشوائية
- in.drip. - going down كلمات الأغنية
- maple treeway - secret songe كلمات الأغنية
- lil spenny - lies كلمات الأغنية
- ayliva - wenn ich wein كلمات الأغنية
- lxwless - smoke 2 this 1 كلمات الأغنية
- matter mos - expectation كلمات الأغنية
- the crying spell - elemental (remix by fun x force) كلمات الأغنية
- honeybutter - let me believe كلمات الأغنية
- kamal. - duvet interlude كلمات الأغنية
- the little project - matem كلمات الأغنية